Recent content by Senseii

  1. Senseii

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujaza form ya paypal, naomba msaada

    Nimejaribu kujaza detail zang kwenye form ya paypal lakn sijafanikiwa kufungua akaunti, vitu vinavyo vinanifelisha ni Address line1.. Adress line 2... Postal code... Afu pia kuna sehem wanataka nijaze City... Na Region... Hapo ndo nachoka kabisa Wenye akaunti za paypal naomba masaada wenu...
  2. Senseii

    JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wana joto zaidi ya weupe

    Hahhahaa topic imenifurahisha
  3. Senseii

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba msaada wenu, eti nani an account ya paypal??

    Mimi inanizingua nikijaza ile form yao then nikikubali inaniandikia Error[. Nahic nakukosea kwenye Address line 1...... Address line 2...... Postal code...... Nisaidie hvyo vitu rafk yang Andy1
  4. Senseii

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba msaada wenu, eti nani an account ya paypal??

    Kuna vitu vinanichanganya napotaka kuifungua!
  5. Senseii

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: baadhi ya tabia za wanawake wa kileo zinazofanya ndoa au mahusiano yasidumu

    Yah Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom