Kufungiwa mnaona haitoshi, sasa mnataka wapigwe.
Miaka ile alipofungiwa zitto kwa kupaza sauti juu ya issues za buzwagi lazima ulishangilia... Ona sasa yameibuka tena, halafu mnayakana.
Acha kuwa bendera, mara moja moja changanya na zako.
Mkishawafungia then what? Uonevu upungue then watu...
Aaaaaah!.
tunahitaji rais MKULIMA,
tunahitaji rais MVUVI
tunahitaji rais Mwanasoka.
tunahitaji rais mwenyee..........
Kwa nini sio tunahitaji wananchi walio hivi au vile?.
Tunahitaji wananchi wanaojitambua.
mleta mada acha woga na uchochezi
kwa hili wote kwa pamoja tuwe upande
wa Tanzania bila kuogopa lolote wala
kujali kama tumekiuka taratibu sijui sheria.
Haya mabwanyenye yametukalia sana.
Kinachowaponzaga NYUMBU kwa SIMBA ni kukosa
umoja na ubinafsi.Tumpe moyo rais wetu akomae nao hivyo hivyo...
Mimi naona police alionyesha udhaifu mkubwa kwa kuanza kulia lia/kusema maneno mengiii hata kushindwa kuzuia hasira.
Suala moja, hajatii kamata peleka kituoni. Mengine ni uoga na kutojiamini na kujipendekeza kwa askari pindi wanapokutana na viongozi/viongozi wastaafu.
Kuuliza sio ujinga, haya majina uliyoyaweka "Aloysius Kibuuka Serunkuma Mujulizi" ndio yake anayotumia?
Ni majina ya eneo gani hapa tz?, Maana yake nini, hasa Kibuuka na Serunkuma?.
Ni mtz wa kuzaliwa au?.
Aksante.
Huyo afisa Elimu alikuwa anajishaua tu kwa kuwa limetokea baya.
Siamini kama ana file la ruhusa/vibali vya namna hiyo ofisini kwake. Ukikagua
vitabu vya wageni katika shule binafsi utakuta hawatembelei mara kwa mara.
Since idara ya ukaguzi (ambayo iko chini ya wizara ya ELIMU) imekufa cha...
UKIFIKA WAKATI KATIKA JAMII ZETU WENYE VISOMO VYA VIWANGO HIVYO WAKAWA AT LEAST 40% ITAKUWA LOGICAL KUWEKA SHERIA YA NAMNA HIYO.
KWA NINI HAO WASOMI WANASHINDWA NA WASIOSOMA KATIKA KURA ZA MAONI NA KATIKA CHAGUZI MBALIMBALI?
HATA HIVYO UKIJA NA FACTS KWAMBA WASOMI BUNGENI WANA UWEZO WA KUJENGA...
UNA HOJA YA MSINGI, lakini kabla ya kufikia huko, tuanze kwanza tukubaliane na kuipongeza serikali kwa kukunjua makucha walau kiduchu kwenye mambo ya msingi (ingawa hawajafika kote MAJESHI YETU, WANASIASA NA SEKTA BINAFSI). Duniani kote kila kitu tumeamua kukipa thamani (ya fedha halali) , na...
malkia wa mipasho Khadija Koppa, Bila kujali itikadi za kisiasa tunampenda, tunamweshimu,
twacheza nyimbo zake ingawa twajua ni mwana CCM na mwimbaji nyimbo nyingi za kuisifu CCM, kukandia na kutukana wapinzani.
ENDELEA KUONGEZA MAARIFA, HASA MAENEO YA UJASIRIAMALI.
THEN UANGALIE ZAIDI UPANDE WA KUJIAJIRI, I HOPE HUKO HAWAHAKIKI VYETI.
KAMA NAFSI ITAENDELEA KUKUSUTA KWA TENDO HILO ONANA NA MLEZI WAKO WA KIROHO KWA KITUBIO n.k
USIACHE SHULE.
Sidhani km ya mama Rwakatare ilikuwa hivyo hivyo.
M/kiti wa UWT huwa ana nafasi kwenye ubunge wa viti maalum.
Sophia Simba alipata ubunge wa viti maalum kwa kuwa m/kiti wa UWT.
Sasa sijui kuhusu mama Rwakatare.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.