Mheshimiwa rais, umechuma janga. Gwajima sio DUDE ila George H.W. Bush ni DUDE

Hivi mwanaume hanithi akilazimishwa kuoa na familia huyo mwanamke ni wake?
Mungu angekuwa na nia ya kutupa rasilimali hizo pendwa za madini, gas na mafuta, angetupatia na uwezo wa kuvigundua kuvichimba kuvipa thamani na kujipatia kipato lakini mambo ni tofauti.
Tutakuja kutolewa roho tusionufaikanavyo wakabaki hai wenye maslahinavyo.
Siungi mkono kuibiwa na pia siungi mkono kujitia matatizoni kama Taifa.
Mikataba ingewekwa wazi bungeni ikajadiliwa kwa kina yote haya yasingetokea.
Mh Rais aache kukata matawi ilihali anajua shina lilipopandwa.
 
kwa hiyo mtoa post unaunga mkono tuendelee kuibiwa?
Huwezi kukwepa, hivi Dunia ni yao. Wao ndio wanaamua Nani afanye nini, na Nani apewe nini. Kuwa mfuasi wa TB J.... Wa Nigeria sio kinga ya wao kukusambaratisha. Vyombo vyote, vikiwemo Mahakama hasa zile za Kimataifa ni Mali yao. We can't fight them, kikubwa kwa sababu sisi ni weak ni kuungana NAO tu. Its just a matter of time. Tumewachokoza, tutarajie maumivu yanakuja.
 
Swali la kujiuliza huyu Baba yetu Kiongozi wetu Mkombozi wetu Chaguo letu anapigana kwa ajili ya nani kama jibu ni kwa ajili yetu sisi Watanzania amejitoa cha Muhimu kila muda na kila wakati unapopata wasaa Tuombe MUNGU amlinde amsimamie katika kulivusha Taifa hili kutoka kulee tulipoonokana wajinga na maskini MUNGU AWE NAWE MUHESHIMIWA RAIS WETU
 
Frankly speaking, sioni jinsi sala yako itakavyomsaidia. Labda kumliwaza ?
 
Mchuma janga hula na wakwao! Na tutakula wote tu, hamna ujanja.
Sasa kwakuwa umechokoza li dege lililotulia, sasa na wewe utulie tuli usikie sauti yake.

George H.W Bush anahusikaje na Acacia?

Nov.27,2014 Cecilia Jamasmie anaandika ,'African Barrick imebaki historia, imebadili jina kuwa Acacia mining.'
Moja kati ya malengo yake ilikuwa kuendeleza kazi zake North Mara na kuzalisha ounce 450,000 ndani ya miaka mitano kwa gharama ya chini ya dola 750 kwa ounce.

Jan.03,1997 Anton Chaitkin anaandika Inside story juu ya genge la Bush na Barrick Gold Corporation. Anasema;
☆ Barrick Gold ni shirika linalojihusisha na mikakati ya siri katika siasa za George H W Bush.
☆ Shirika hili lenye makao yake Canada ndio biashara pekee ya Bush iliyofahamika wakati huo.
☆ Shirika hili lilianzishwa na marafiki wa kisiasa wa Bush, Wawezeshaji wakubwa wa biashara za madawa ya kulevya, wafanyabiashara haramu wa silaha na watakatishaji wa fedha.
☆ Shirika ni kubwa, liko USA, Canada, South America: Argentina, Chile, Peru, Bolivia na Brazil. Lipo pia Africa.

Majina makubwa kwenye shirika ni ya kina nani?

1. George Herbert Walker Bush
♨Baba yake alikuwa partner kwenye taasisi binafsi kubwa na yenye nguvu, ya kibenki - Brown Brothers Harriman.
♨Bush alikuwa makamu wa rais na chief kwenye operations za siri katika utawala wa Reagan (1981-89).
♨Bush alikuwa rais wa Marekani (1989-93).
♨Bush alikuwa chief lobbyist wa Barrick, mwanahisa na mshauri mkubwa wa heshima wa bodi ya kimataifa ya washauri wa Barrick.

2. Adnan Khashogi.
♨ Billionea wa saudi na mfanyabiashara haramu ya silaha .
♨Muanzilishi wa Barrick Gold Corp.
♨Maarufu sana kwa biashara yake haramu ya kuiuzia Iran silaha.

3. Peter Munk na 4. Brian Mulroney ; hawa ntawaacha kwa sasa.

Hili ni janga kwasababu kwao Magufuli hatoshi hata kwa breakfast;
Angalia hapa chini!

$ Uwekezaji mkubwa katika shirika ulifanywa na Khashogi na mapartner wake katika biashara haramu ya silaha. Wakati huo wakihangaika na biashara iliyojulikana kama 'guns and cocaine triangle' kati ya Iran - Israeli - na Nicaragua. 1986 biashara hii ilikuja kubumburuka na ikawa maarufu kama 'Iran - contra' scandal.

$ Bush na yeye aliingia kwenye shirika kwa staili yake. Mwaka 1986-87 Barrick Gold Corp ilinunua ardhi, mali ya serikali ya Marekani, yenye thamani ya zaidi ya dola billion 10 kwa dola million 63 tu, kwaajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Hapa ni USA ukumbuke, na sio mandazi republic kama hii yakwetu.
Bush alipochaguliwa 1988 akawezesha utaratibu wa kupata hati miliki kwa ajili ya eneo hili.Utaratibu huu ulikuwa special kwaajili ya Barrick tu!

♀Bush alishirikiana bega kwa bega na CIA na FBI katika kujaribu kupindua Serikali ya Fidel Castro katika uvamizi uliopewa jina maarufu kama Bay of Pigs invasion.
Walitumia mgongo wa kampuni ya Zapata Oil Bush akiwa kama rais wa kampuni na baadae Zapata Offshore Bush akiwa kama mmiliki.
Hapa kuna Memo kibao za ushahidi.

Nov.22, 1963 Bush alishiriki katika mauaji ya J.F.Kennedy, rais wa Marekani wakati huo kwasababu tu alikataza ndege za Marekani kutumika kwenye Bay of Pigs invasion. Kennedy pia alistopisha rogue operations zote za CIA na FBI .

Bush amefanya maovu mengi mno! Ana links na shetani wa kila aina;
☞ wa Nazi.
☞ wafanyabiashara ya madawa ya kulevya.
☞ Wafanyabiashara haramu ya silaha.
☞ Wauaji - assassins
☞ CIA
☞ FBI
☞ Na taasisi nyingi za kijeshi sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Bush hajazaliwa hapo chini ya mfereji kwamba unaweza kumtumbua hata ukiwa grocery!

Kwenye moja ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, siku moja baada ya Bush kuhutubia, Marehemu Hugo Chavez, Mungu ailaze roho yake mahali pema, Anasema, “ Shetani alikuja hapa jana, na mpaka leo hii, hii meza niliposimama inanuka sulfur.” Kisha Chavez akapiga ishara ya msalaba halafu akaangalia juu akiweka mikono yake kama mtu anayesali kumuomba Mungu.

Mdau unajua kwanini Chavez aliongelea harufu ya sulfur?

George H Bush sasa ni Mzee sana Kitanda cha Mauti. Labda ukute wanaye hili Deal nao Wamo. Jeb ndio aliyeaminika zaidi na Wazazi, Kuna kazi moja ambayo kwa sasa inawakeep bussy maana 2016 Ilikuwa ni personal kwao!
 
Mchuma janga hula na wakwao! Na tutakula wote tu, hamna ujanja.
Sasa kwakuwa umechokoza li dege lililotulia, sasa na wewe utulie tuli usikie sauti yake.

George H.W Bush anahusikaje na Acacia?

Nov.27,2014 Cecilia Jamasmie anaandika ,'African Barrick imebaki historia, imebadili jina kuwa Acacia mining.'
Moja kati ya malengo yake ilikuwa kuendeleza kazi zake North Mara na kuzalisha ounce 450,000 ndani ya miaka mitano kwa gharama ya chini ya dola 750 kwa ounce.

Jan.03,1997 Anton Chaitkin anaandika Inside story juu ya genge la Bush na Barrick Gold Corporation. Anasema;
☆ Barrick Gold ni shirika linalojihusisha na mikakati ya siri katika siasa za George H W Bush.
☆ Shirika hili lenye makao yake Canada ndio biashara pekee ya Bush iliyofahamika wakati huo.
☆ Shirika hili lilianzishwa na marafiki wa kisiasa wa Bush, Wawezeshaji wakubwa wa biashara za madawa ya kulevya, wafanyabiashara haramu wa silaha na watakatishaji wa fedha.
☆ Shirika ni kubwa, liko USA, Canada, South America: Argentina, Chile, Peru, Bolivia na Brazil. Lipo pia Africa.

Majina makubwa kwenye shirika ni ya kina nani?

1. George Herbert Walker Bush
Baba yake alikuwa partner kwenye taasisi binafsi kubwa na yenye nguvu, ya kibenki - Brown Brothers Harriman.
Bush alikuwa makamu wa rais na chief kwenye operations za siri katika utawala wa Reagan (1981-89).
Bush alikuwa rais wa Marekani (1989-93).
Bush alikuwa chief lobbyist wa Barrick, mwanahisa na mshauri mkubwa wa heshima wa bodi ya kimataifa ya washauri wa Barrick.

2. Adnan Khashogi.
Billionea wa saudi na mfanyabiashara haramu ya silaha .
Muanzilishi wa Barrick Gold Corp.
Maarufu sana kwa biashara yake haramu ya kuiuzia Iran silaha.

3. Peter Munk na 4. Brian Mulroney ; hawa ntawaacha kwa sasa.

Hili ni janga kwasababu kwao Magufuli hatoshi hata kwa breakfast;
Angalia hapa chini!

$ Uwekezaji mkubwa katika shirika ulifanywa na Khashogi na mapartner wake katika biashara haramu ya silaha. Wakati huo wakihangaika na biashara iliyojulikana kama 'guns and cocaine triangle' kati ya Iran - Israeli - na Nicaragua. 1986 biashara hii ilikuja kubumburuka na ikawa maarufu kama 'Iran - contra' scandal.

$ Bush na yeye aliingia kwenye shirika kwa staili yake. Mwaka 1986-87 Barrick Gold Corp ilinunua ardhi, mali ya serikali ya Marekani, yenye thamani ya zaidi ya dola billion 10 kwa dola million 63 tu, kwaajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Hapa ni USA ukumbuke, na sio mandazi republic kama hii yakwetu.
Bush alipochaguliwa 1988 akawezesha utaratibu wa kupata hati miliki kwa ajili ya eneo hili.Utaratibu huu ulikuwa special kwaajili ya Barrick tu!

♀Bush alishirikiana bega kwa bega na CIA na FBI katika kujaribu kupindua Serikali ya Fidel Castro katika uvamizi uliopewa jina maarufu kama Bay of Pigs invasion.
Walitumia mgongo wa kampuni ya Zapata Oil Bush akiwa kama rais wa kampuni na baadae Zapata Offshore Bush akiwa kama mmiliki.
Hapa kuna Memo kibao za ushahidi.

Nov.22, 1963 Bush alishiriki katika mauaji ya J.F.Kennedy, rais wa Marekani wakati huo kwasababu tu alikataza ndege za Marekani kutumika kwenye Bay of Pigs invasion. Kennedy pia alistopisha rogue operations zote za CIA na FBI .

Bush amefanya maovu mengi mno! Ana links na shetani wa kila aina;
☞ wa Nazi.
☞ wafanyabiashara ya madawa ya kulevya.
☞ Wafanyabiashara haramu ya silaha.
☞ Wauaji - assassins
☞ CIA
☞ FBI
☞ Na taasisi nyingi za kijeshi sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Bush hajazaliwa hapo chini ya mfereji kwamba unaweza kumtumbua hata ukiwa grocery!

Kwenye moja ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, siku moja baada ya Bush kuhutubia, Marehemu Hugo Chavez, Mungu ailaze roho yake mahali pema, Anasema, “ Shetani alikuja hapa jana, na mpaka leo hii, hii meza niliposimama inanuka sulfur.” Kisha Chavez akapiga ishara ya msalaba halafu akaangalia juu akiweka mikono yake kama mtu anayesali kumuomba Mungu.

Mdau unajua kwanini Chavez aliongelea harufu ya sulfur?
Tutasimama na raisi wetu ikibidi tufe wote, wewe ulitakaje? Waendelee kutuibia kisa wananguvu? Hapana enough is enough
 
Mchuma janga hula na wakwao! Na tutakula wote tu, hamna ujanja.
Sasa kwakuwa umechokoza li dege lililotulia, sasa na wewe utulie tuli usikie sauti yake.

George H.W Bush anahusikaje na Acacia?

Nov.27,2014 Cecilia Jamasmie anaandika ,'African Barrick imebaki historia, imebadili jina kuwa Acacia mining.'
Moja kati ya malengo yake ilikuwa kuendeleza kazi zake North Mara na kuzalisha ounce 450,000 ndani ya miaka mitano kwa gharama ya chini ya dola 750 kwa ounce.

Jan.03,1997 Anton Chaitkin anaandika Inside story juu ya genge la Bush na Barrick Gold Corporation. Anasema;
☆ Barrick Gold ni shirika linalojihusisha na mikakati ya siri katika siasa za George H W Bush.
☆ Shirika hili lenye makao yake Canada ndio biashara pekee ya Bush iliyofahamika wakati huo.
☆ Shirika hili lilianzishwa na marafiki wa kisiasa wa Bush, Wawezeshaji wakubwa wa biashara za madawa ya kulevya, wafanyabiashara haramu wa silaha na watakatishaji wa fedha.
☆ Shirika ni kubwa, liko USA, Canada, South America: Argentina, Chile, Peru, Bolivia na Brazil. Lipo pia Africa.

Majina makubwa kwenye shirika ni ya kina nani?

1. George Herbert Walker Bush
♨Baba yake alikuwa partner kwenye taasisi binafsi kubwa na yenye nguvu, ya kibenki - Brown Brothers Harriman.
♨Bush alikuwa makamu wa rais na chief kwenye operations za siri katika utawala wa Reagan (1981-89).
♨Bush alikuwa rais wa Marekani (1989-93).
♨Bush alikuwa chief lobbyist wa Barrick, mwanahisa na mshauri mkubwa wa heshima wa bodi ya kimataifa ya washauri wa Barrick.

2. Adnan Khashogi.
♨ Billionea wa saudi na mfanyabiashara haramu ya silaha .
♨Muanzilishi wa Barrick Gold Corp.
♨Maarufu sana kwa biashara yake haramu ya kuiuzia Iran silaha.

3. Peter Munk na 4. Brian Mulroney ; hawa ntawaacha kwa sasa.

Hili ni janga kwasababu kwao Magufuli hatoshi hata kwa breakfast;
Angalia hapa chini!

$ Uwekezaji mkubwa katika shirika ulifanywa na Khashogi na mapartner wake katika biashara haramu ya silaha. Wakati huo wakihangaika na biashara iliyojulikana kama 'guns and cocaine triangle' kati ya Iran - Israeli - na Nicaragua. 1986 biashara hii ilikuja kubumburuka na ikawa maarufu kama 'Iran - contra' scandal.

$ Bush na yeye aliingia kwenye shirika kwa staili yake. Mwaka 1986-87 Barrick Gold Corp ilinunua ardhi, mali ya serikali ya Marekani, yenye thamani ya zaidi ya dola billion 10 kwa dola million 63 tu, kwaajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Hapa ni USA ukumbuke, na sio mandazi republic kama hii yakwetu.
Bush alipochaguliwa 1988 akawezesha utaratibu wa kupata hati miliki kwa ajili ya eneo hili.Utaratibu huu ulikuwa special kwaajili ya Barrick tu!

♀Bush alishirikiana bega kwa bega na CIA na FBI katika kujaribu kupindua Serikali ya Fidel Castro katika uvamizi uliopewa jina maarufu kama Bay of Pigs invasion.
Walitumia mgongo wa kampuni ya Zapata Oil Bush akiwa kama rais wa kampuni na baadae Zapata Offshore Bush akiwa kama mmiliki.
Hapa kuna Memo kibao za ushahidi.

Nov.22, 1963 Bush alishiriki katika mauaji ya J.F.Kennedy, rais wa Marekani wakati huo kwasababu tu alikataza ndege za Marekani kutumika kwenye Bay of Pigs invasion. Kennedy pia alistopisha rogue operations zote za CIA na FBI .

Bush amefanya maovu mengi mno! Ana links na shetani wa kila aina;
☞ wa Nazi.
☞ wafanyabiashara ya madawa ya kulevya.
☞ Wafanyabiashara haramu ya silaha.
☞ Wauaji - assassins
☞ CIA
☞ FBI
☞ Na taasisi nyingi za kijeshi sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Bush hajazaliwa hapo chini ya mfereji kwamba unaweza kumtumbua hata ukiwa grocery!

Kwenye moja ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, siku moja baada ya Bush kuhutubia, Marehemu Hugo Chavez, Mungu ailaze roho yake mahali pema, Anasema, “ Shetani alikuja hapa jana, na mpaka leo hii, hii meza niliposimama inanuka sulfur.” Kisha Chavez akapiga ishara ya msalaba halafu akaangalia juu akiweka mikono yake kama mtu anayesali kumuomba Mungu.

Mdau unajua kwanini Chavez aliongelea harufu ya sulfur?
Are you part of the ring to warrant threatening Tanzania? The president has the right to stand against such satanists on behalf of Tanzanians. If you dont like it, you can pack up and go.
 
mleta mada acha woga na uchochezi
kwa hili wote kwa pamoja tuwe upande
wa Tanzania bila kuogopa lolote wala
kujali kama tumekiuka taratibu sijui sheria.
Haya mabwanyenye yametukalia sana.
Kinachowaponzaga NYUMBU kwa SIMBA ni kukosa
umoja na ubinafsi.Tumpe moyo rais wetu akomae nao hivyo hivyo.
WEKA ITIKADI PEMBENI, CHUKI PEMBENI, TUWAONYESHE TUKO WOTE KATIKA HILI, NA HATUTAKI UJINGA.
 
Kwa akili hizi sidhani kama ungethubutu hata kunyanyua kidole kupambana na wakoloni
Mwenye Mada yuko sahihi, Ukitaka Kuwashinda Mapepari, tena Wenye Shadowy dealings, usiingie na Deal halafu baadaye Uwa double-cross. Wataona Umewadhulumu. CCM msijifanye kulia lia wakati mlishangilia kuingia Mikataba ya Kijambazi. Historia inaonyesha hakuna mtu anagusa Pesa, au Interest za Wamarekani Akachomoa. Wamarekani Mtukane Yesu atasema haimhusu, Mtukane Mama yake haimhusu. Gusa Pesa yake au Tukana Nchi yao, and Kiss your ass Goodbye! Wamarekani wana miungu miwili Pesa na National Pride, hivyo usiguse!
 
mleta mada acha woga na uchochezi
kwa hili wote kwa pamoja tuwe upande
wa Tanzania bila kuogopa lolote wala
kujali kama tumekiuka taratibu sijui sheria.
Haya mabwanyenye yametukalia sana.
Kinachowaponzaga NYUMBU kwa SIMBA ni kukosa
umoja na ubinafsi.Tumpe moyo rais wetu akomae nao hivyo hivyo.
WEKA ITIKADI PEMBENI, CHUKI PEMBENI, TUWAONYESHE TUKO WOTE KATIKA HILI, NA HATUTAKI UJINGA.
Tulikuwa nanyi mlivyokuwa mnapitisha Mikataba kwa mbwembwe?
 
Watanyooka tu! Ni kweli maneno yako lakini Mola ni mwaminifu sana na huwa anakumbuka ahadi zake!
Where is Hugo Chavez, Utawanyosha Marekani wewe! Ukitaka wakuone fair nenda nao kisheria, kisheria hapa Magufuli amelikoroga big time, Mmarekani sio wa Kumwambia, " Submit your passport now!, You bogus I will deal with you"
 
Back
Top Bottom