Recent content by Seniweba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    Nitaendelea kesho, lazima nimalize kitabu hiki na niki-apply kwenye maisha yangu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia hivi ujue anakudanganya!

    Mmmh!!! Kwahiyo hata mwanamke akitoa machozi mbele yako bado atakuwa ni mwongo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    Tajiri wa babeli. Kitabu kizuri kweli.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Njia 4 unazoweza kuzitumia kujua wito wa maisha yako

    Who are you? What is your calling? What's real matters in your life? What do you want the next generation to remember from you? Shukrani kwa ku-share jambo hili mkuu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Kanisa katoliki lazima lijitathimini, kila siku maswali yanaibuka dhidi yake. Kuna kitu hakiko sawa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kulalamika hufanywa na watu wazembe na malofa

    Taikon wa fasihi hupoi, huboi, ni full Moto. 👍👍👍
  7. S

    JamiiForums Tanzania Baraka hutoka kwa Baba; Laana hutoka kwa Mama, utaamua mwenyewe

    Mwanafalsafa Taikon, mtu na fasihi yake. Nashukuru kwa ku-share nasi mawazo yako.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    Ahsante sana mkuu, nikimaliza The Richest man in Babylon kitafuata hicho.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    THINK AND GROW RICH by Napolean Hill, kitabu hiki kimenisaidia sana katika kuhakikisha naendelea kusonga mbele kwa Jambo ninalolifanya yaan kutokukata tamaa. Pia kimenisaidia kuwa na jicho la tatu la kuona mambo mbalimbali, hususani katika kusimamia ndoto na malengo niliyojiwekea bila...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusoma kitabu, The Richest Man In Babylon? Ulijifunza nini? Kinasaidia?

    Nimejiwekea lengo la kusoma kitabu kimoja kila mwezi, nimeshamaliza THINK AND GROW RICH kwenye timetable kinachofuata ni hiki THE RICHEST MAN IN BABYLON. Shukrani sana kwa kushare kitabu hiki.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Daaah!!! Huwa najiona na miakili sana, kumbe me mdogo wapo wenye maakili yao, yoga ni miongoni mwao.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje pale Familia yako itakapokutenga?

    Taikon wa fasihi naikubali sana kazi yako. Huwa nikiona uzi wako lazima nimpe simu mdogo wangu nae apitie madini yako maana yeye hana smartphone. Hongera sana mkuu kwa kumulika nyanja mbalimbali za maisha.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, ajira zipo za kutosha Tanzania kwa wanaojua Kiingereza kwa ufasaha

    Elimu elimu elimu! Bado Kuna shida kwenye elimu yetu, wasomi wapo wengi lakini bado hatuendani na matakwa ya ulimwengu huu. Ulimwengu wa Leo unahitaji watu wanaotumia ubongo wao vizuri sambamba na elimu zao kwa kubuni, kuanzisha miradi , kuchimba na kutafuta ukweli kwenye changamoto...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

    Wakati wazee wakisimulia habari za Nyerere, Basi vijana wa miaka ya 90 na 2000 watasimulia habari za shujaa Magufuli.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

    Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua kupitia kwake. Kwa kulinganisha kipindi akiwa hai na baada ya kutuacha, somo hilo ni kutokuogopa...
Back
Top Bottom