Recent content by Senior_steve2017

  1. Senior_steve2017

    JamiiForums Tanzania Roho yangu inakuwa ngumu kuamini kuwa hii ni damu yangu

    Hahaha vipimo ni tofauti huenda vipimo vya DNA vipo vizuri pamoja wataalamu wake.
  2. Senior_steve2017

    JamiiForums Tanzania Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Tunajifunza kutokana na makosa.
  3. Senior_steve2017

    JamiiForums Tanzania Why is it sex first marriage next?

    Japo mafundisho ya dini yanakataza ila kwa Sasa umekuwa ni Kama utamaduni. Changamoto kubwa ni kutokana na sealed sokoni zimeadimika Sana.
  4. Senior_steve2017

    JamiiForums Tanzania Roho yangu inakuwa ngumu kuamini kuwa hii ni damu yangu

    Jipange ukapime DNA mkuu.
  5. Senior_steve2017

    JamiiForums Tanzania Siwapendi ‘Sugar Mummy' lakini nina bahati ya kupendwa nao

    Wapotezee Kama hufurahii kuwa nao katika mahusiano, fanya ile kitu roho unapenda
  6. Senior_steve2017

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inafaa Mjini Tanga

    Biashara ya vifaa vya ujenzi tanga inakuwa watu wanazidi kujenga, Nguo za special jumla, mazao ya nafaka mbalimbali n.k
  7. Senior_steve2017

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta connection ya kazi za kuchapa (typing) iwe ripoti, kitabu, jarida n.k. tuwasiliane nikufanyie kazi yako kwa ustadi. +255767492862
Back
Top Bottom