Roho yangu inakuwa ngumu kuamini kuwa hii ni damu yangu

Wakuu

Huyu demu nilitemana nae baada ya kugundua kuwa anagongwa na jamaa mwingine ilikuwa mwezi mmoja kabla ya kugundua aliniambia kuwa anamimba, baada ya kugundua na kumtema nikamwbia tusubiri mtoto azaliwe tutajua cha kufanya, kweli mwaka Jana mwezi wa kumi nilipigiwa simu na dada mtu kuwa mdogo wako Yuko hosp amewapa namba wanipigie wanipe taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu polee kwa masahibu hayo jambo la kwanza nikwambie tu hayo ni matatizo ya kawaida wanaume wengi tumeyapitia.

Hatua ya kwanza sitisha huduma kwa mama na mtoto wanakuchezea akili yako na mwambie mwanamke bado una mashaka na mtoto kama sio wako na umuulize kama upo tayari kwenda kupima damu au DNA kwa uhakiki wa mtoto,maana mtoto kumjua baba yake mzazi ni haki yake ya msingi sana.Ukiona anakataa kata kupima usibembeleze mchane makavu kuwa huendelei uhusiano nao kama hawakusikilizi maana wewe ndo baba wa mtoto na wakupe kadi ya clinic maana unaihitaji utengeneze bima ya mtoto,wakikataa piga magoti usali na ufanye maamuzi magumu.Akikubali pima damu utapata pa kuanzia ili uanze kulea kama baba

Nani alimpa jina mtoto na jina la mtoto karithi la mtu au kalitoa wapi? kuwa serious na maisha kosa dogo tu unaweza haribu maisha yako masuala ya mtoto ni vitu nyeti sana lazima utulie chini na uamue kuendelea kuhudumia au la usimwone huruma
 
Wakuu

Huyu demu nilitemana nae baada ya kugundua kuwa anagongwa na jamaa mwingine ilikuwa mwezi mmoja kabla ya kugundua aliniambia kuwa anamimba, baada ya kugundua na kumtema nikamwbia tusubiri mtoto azaliwe tutajua cha kufanya, kweli mwaka Jana mwezi wa kumi nilipigiwa simu na dada mtu kuwa mdogo wako Yuko hosp amewapa namba wanipigie wanipe taarifa.

Pia, hawana pesa ya kufanya operasheni na kununua dawa, nikaingiwa na huruma kutokana na maelezo Yao nikawaza siyo vizur mtu afe sababu ya pesa nayoweza kuitoa nikawatumia kama 250k iwapush, alivyojifungua wakanipigia simu kutaka kujua nafanya utaratibu gani wa kwenda kujitambulisha na kuhusu huduma ya mtoto.

Nikawaambia sina hakika na huyo mtoto kama ni wa kwangu nitaendelea kusaidia vile navyoweza Ila kuhusu kuja kujitambulisha au kumchukua bint yenu kukaa nae hapana tusubiri mtoto akue, hawakunielewa ila Mimi niliendelea kushikilia msimamo wangu, nikawa natoa huduma miezi mitatu imepita bint nikimwambia nitumie pic ya mtoto anasema simu yake mbovu Ila kwenye social media anampost Jambo ambalo silipendi, dogo amefikisha miezi sita nikamwambia tena naomba unitie picha za dogo jibu lake ni lile lile. Baati nzur nikabahatika kukutana nae nilichoka kichwa mpaka vidole.

Mimi ni mweusi na mama ake ni mweusi huyo dogo Hana dalili zozote za kuwa mweusi Leo hata kesho, Hana dalili zozote za kutanana Kwa namna yoyote na mtu yeyote katika familia yetu, anasura ngeni kabisa machoni pangu,. Nikamuuliza huyu ndo mwanagu akaniambia isikuchanganye rangi huyu ni mwanao nafsi yangu na hisia bado zinakinzana na maamuzi yangu kuwa Ile ni damu yangu, na nikiwaza chanzo cha kutema nae alitoka Kwa jamaa siku hiyohiy. Akaja kwangu.

Mpaka sasa sijatoa taarifa kwa mtu yeyote upande wa kwetu nasubiri mtoto afikishe mwaka mmoja,

Mapenzi hasara

26yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
kitanda hakizai haramu wewe..mimi nina mtoto kafanana na familia ya kike lakini nina mapenzi naye hapana maelezo...kama umeambiwa wako pambana acha kulia lia ..wakati unakojolea ndani ulitegemea nini???
 
ukichunguza vizuri atakuwa amefanana na first generation of your family ..so kuwa mpole na toa huduma na mapenzi kwa mtoto
 
....Nikamuuliza huyu ndo mwanagu akaniambia isikuchanganye rangi huyu ni mwanao....

Mwanamke akikuchukia, anaweza kukunyima mtoto alie tumboni. Mwanamke akikupenda anaweza kukupa mtoto wa Mwanaume mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu

Huyu demu nilitemana nae baada ya kugundua kuwa anagongwa na jamaa mwingine ilikuwa mwezi mmoja kabla ya kugundua aliniambia kuwa anamimba, baada ya kugundua na kumtema nikamwbia tusubiri mtoto azaliwe tutajua cha kufanya, kweli mwaka Jana mwezi wa kumi nilipigiwa simu na dada mtu kuwa mdogo wako Yuko hosp amewapa namba wanipigie wanipe taarifa.

Pia, hawana pesa ya kufanya operasheni na kununua dawa, nikaingiwa na huruma kutokana na maelezo Yao nikawaza siyo vizur mtu afe sababu ya pesa nayoweza kuitoa nikawatumia kama 250k iwapush, alivyojifungua wakanipigia simu kutaka kujua nafanya utaratibu gani wa kwenda kujitambulisha na kuhusu huduma ya mtoto.

Nikawaambia sina hakika na huyo mtoto kama ni wa kwangu nitaendelea kusaidia vile navyoweza Ila kuhusu kuja kujitambulisha au kumchukua bint yenu kukaa nae hapana tusubiri mtoto akue, hawakunielewa ila Mimi niliendelea kushikilia msimamo wangu, nikawa natoa huduma miezi mitatu imepita bint nikimwambia nitumie pic ya mtoto anasema simu yake mbovu Ila kwenye social media anampost Jambo ambalo silipendi, dogo amefikisha miezi sita nikamwambia tena naomba unitie picha za dogo jibu lake ni lile lile. Baati nzur nikabahatika kukutana nae nilichoka kichwa mpaka vidole.

Mimi ni mweusi na mama ake ni mweusi huyo dogo Hana dalili zozote za kuwa mweusi Leo hata kesho, Hana dalili zozote za kutanana Kwa namna yoyote na mtu yeyote katika familia yetu, anasura ngeni kabisa machoni pangu,. Nikamuuliza huyu ndo mwanagu akaniambia isikuchanganye rangi huyu ni mwanao nafsi yangu na hisia bado zinakinzana na maamuzi yangu kuwa Ile ni damu yangu, na nikiwaza chanzo cha kutema nae alitoka Kwa jamaa siku hiyohiy. Akaja kwangu.

Mpaka sasa sijatoa taarifa kwa mtu yeyote upande wa kwetu nasubiri mtoto afikishe mwaka mmoja,

Mapenzi hasara

26yrs

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hauna mbwa hapo kwako, huyo usimkaribishe hata kuja kunywa maji kwako.....hafai hata robo kuwa karibu yako.
 
Write your reply...MNAOMWAMBIA APIME DNA MNAMDANGANYA HATAPEWA MAJIBU EXACTLY NDO SHERIA YAO WANAANGALIA MASLAHI YA MTOTO HATA KAMA SIO WAKO UTAAMBIWA WAKO LABDA UENDE KENYA
 
Back
Top Bottom