Survival of the fittest
Mimi ni mwanabiologia
Kama utawekeza juhudi sehemu ukiwa jasiri eneo fulani 95% then kwingine itaonesha udhaifu
Every action there is equal and opposite reaction
Peleka mtoto kanisani aombewe pia ebu jaribu kumuwekea video za wakubwa utaona anavyochekelea kuona mambo ya kishetani
Tamaduni zetu zinavyunjwa kwa ushabiki channel nyingine zina mambo ya kizungu sana .....acha kumwalibu mtoto kwa kumuwekea picha za video chafu
Rais Duterte: Ufilipino haijavunja uhusiano na Marekani
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino amesema havunji uhusiano baina ya nchi yake na Marekani, bali anatenganisha sera za mambo ya nje za nchi yake na zile za Marekani.
Rais Duterte alitangaza juzi Alhamisi akiwa jijini Beijing nchini China...
Uharamia kutoka pwani ya Somalia umepungua kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni
Maafisa wa kimataifa wanoahusika katika majadiliano ya kufanikisha kuwachiwa kwa mateka wanasema mabaharia 26 waliokuwa wamezuiwa na maharamia wa Kisomali kwa takribana miaka mitano wamechiwa huru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.