Recent content by Senior Counsel

  1. Senior Counsel

    Rav 4 6M

    Sorry PakaJimmy usichanganyikiwe... ni husband and wife, wote tunauza
  2. Senior Counsel

    Rav 4 6M

    Rav 4 inauzwa sh. milioni sita (6) Rangi: green 3 doors Year: 1995 Iko katika hali nzuri. Ukitaka kuiona inapatikana maeneo ya posta mpya karibu na haidery Plaza. Simu no 0714600366 au 0756 825713
  3. Senior Counsel

    Kwanini Patrick Rutabanzibwa (katibu mkuu wa ardhi) anaenda jela?

    No research, no right to speak.... Unamjua Patrick Rutabanzibwa vizuri? Kukaa kimya kunasaidia kuliko kukurupuka tu kuchangia hoja, sijui mengi kuhusiana na sakata hili, lakini PR ni mtu safi sana na kama maamuzi hayo yamefika hapo, naamini alikuwa anatetea maslahi ya Umma. PR ni mtu makini...
  4. Senior Counsel

    Umaaarufu wa carol light unatokana na nini?

    Lizzy, nafikiri First Born anamaanisha yale makovu au mabaka mabaka miguuni ni kama gwanda la mwanamgambo, kwani lle mikogoro inafanya miguu iwe kama mabaka mabaka...
  5. Senior Counsel

    Huyu mama wa mhe. Bilal ndo sura yake au hasira?

    Yupi bi. mkubwa na yupi ni mdogo kati ya huyo wa kulia na kushoto?
Back
Top Bottom