Recent content by Sengeon

  1. S

    Onyo kali kwa kamati kuu CCM chama changu, Baraza la wazee na Rais Kikwete

    Hivi wale wengine ambao majina yao yatakatwa wao hawatalalamika?.
  2. S

    Majambazi wavamia NMB Mkuranga, Waua Polisi

    MPARE KIBOGOYO Kama wameiba Escro na Richomond itakuwa ni hao hao Mafisiemu ndio majambazi.
  3. S

    CHADEMA kukabidhi Mkanda (CD) ya mauaji ya wanachama wake Soweto

    Huwa nikiangalia post za watu wengine hapo naamini Fisiemu ni ibilisi na ameingia kwenye Ubongo wa wajinga kama wewe.
  4. S

    CHADEMA kukabidhi Mkanda (CD) ya mauaji ya wanachama wake Soweto

    Hii Cd tunaisubiri kwa hamu sana. Mafisiemu lazima kitakula kwao.
  5. S

    Muswada wa kupiga marufuku kamari kupelekwa Bungeni

    Haya ndio mambo ya msingi ambayo Serikali inatakiwa kufanya haraka sana sio mitandao ya kijamii.
  6. S

    Ccm ni ufalme uliofitinika ni lazime ufe.

    Chama cha Mapinduzi kwa sasa wamekaa kama ufalme uliofitinika. Ikimbukwe mpaka sasa kuna Makundi Matatu hasimu ambao hawaelewani wala hawapikiki chungi kimoja na wote kwa pamoja wako kwenye kauli inayoitwa bora tukose wote. 1- Kundi la kwanza ni lile la Mb wa Monduli ndg Lowasa. Hili...
  7. S

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Ccm ni mwakilishi wa Shetani na ndio maana matatizo ya Watanzania yanendelea kukua siku hadi siku. Ccm badilikeni na mfanye mambo ya msingi.
  8. S

    Kingunge Ngombale Mwiru atetea Mahakama ya Kadhi ITV

    Hatujakataa Mahakama ya Kadhi ila waunde wao wenyewe kwa gharama zaoo. Kwanza huyo mwakilishi wa washirikina atatuambia mini kuhusu dini wakati yeye ni mpagani?.
  9. S

    Afande Sele VS Abood 2015

    Ningekuwa Mtu wa moro nisingechagua mvuta Bangi kabisa.
  10. S

    Samwel Sitta aanikwa uovu wake

    Huyu alishapauka kuanzia Bunge maalum la Katiba.
  11. S

    Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

    Akizungumza kupitia taarifa ya habari Itv Mwanasheria Mkuu ametangaza Rasmi kuwa Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislamu Wenyewe. Amesema kuwa Serikali haina Dini na Kamwe haitajihusisha na maswala ya imani za Kidini. Mwanasheria pia amesema kuwa Mahakama hiyo ilishakuwepo na ilikuwa...
  12. S

    Ajali ya basi la Budget mlima Kitonga

    Ahsante Mungu kwa kuwanusuru.
  13. S

    Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Nimejaribu sana kufikiri kuhusu uelewa wa Viongozi wa Kiislamu wanaopigania upatikanaji wa Mahakama ya Kadhi kuingizwa kwenye Sheria za Nchi. Kwanza itambulike kuwa Serikali ya Tanzania haina Dini ila watu wake wana Dini, Na kila Mtu aabudu anachokiamini isipokuwa asivunje Sheria za Nchi...
  14. S

    Mahakama ya Kadhi ni nini?

    Kukata mshahara wa mwislamu ni sawa na kumkata Simba Mkia. Hawa Jamaa ni wabaili sana na ndio maana mpaka wajengewe Msikiti na Waarabu. Wenyewe hawawezi kujenga.
Back
Top Bottom