tan road tanga walikua wanahitaji watu wa bachelor sijui deadline ishapita au vip?pia jaribu kufika rhino cement mawen uone kama watakusikiliza hilo suala lako.
mbona twalazimisha kutapeliwa?maana kuna mwanajamii kafika hadi office za mcb wakamwambia hawajatangaza ajira wewe umekazana mwanza mwanza wale ni matapel shukur mungu hukuingia mkengee na achana na story zao.
Wapendwa habarini za majukumu kuna hawa jamaa wa Frontier Data Corp walitangaza nafasi za Part Time Researcher kuhusu markertinga katika baadhi ya mikoa hapa nchini deadline ilikua tar 3 March.
Vipi kuna mwenye taarifa juu yao.
sms ilinitaka nitoe laki tatu then nikiwa katika training sasa me sikuelewa nini kinaendelea ndo maana nakwambia tusubir tar 20 had kufika 1 mwez wa nne itafaahamika vizur
me nimetumiwa sms inayonitaka nitoe laki tatu then nipitishwe kwenye hiyo test sasa me nimepiga kimya nasubir tar 20 nioke ukwel wenyewe tutajua tu ukwel ni upi na kama ni matapel mbona mcb wapo na wanaona au vip
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.