Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno,
hupendo majisifuu,
asichokijua hujifanya anajua,
mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL...