Recent content by Senbe Noma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

    Nyie pumbaf zenu hakuna alie toka . Wako ndani hao. Eti sio unga afu watapewa dhamana. Dhamana ya nini wkt sio unga..wavivu wa kufikiri nyie
  2. S

    JamiiForums Tanzania Abdullatif Abdallah FUNDIKIRA ana tofauti gani na vigogo wa madawa ya kulevya?

    Tiff pole, ulitiwa ndani mkeo akawaanatiwa tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Abdullatif Abdallah FUNDIKIRA ana tofauti gani na vigogo wa madawa ya kulevya?

    acha fiksi huna ushahidi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Abdullatif Abdallah FUNDIKIRA ana tofauti gani na vigogo wa madawa ya kulevya?

    ni kweli Lukuvi ana jumba la bilion 1?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Abdullatif Abdallah FUNDIKIRA ana tofauti gani na vigogo wa madawa ya kulevya?

    una uhakika au unachonga tu?
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANZANIA Kuhalalisha MADAWA YA KULEVYA

    SASA UNACHOBISHA NI NINI? Uruguay wamehalalisha bana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Abdullatif Abdallah FUNDIKIRA ana tofauti gani na vigogo wa madawa ya kulevya?

    KAMANDA NZOA na DPP najua huqwa mnasoma sana jamii forum EBU TOENI UFAFANUZI KUHUSU HOJA HII YA HAKI NA UKWELI KAQBISA
  8. S

    JamiiForums Tanzania TANZANIA Kuhalalisha MADAWA YA KULEVYA

    Nisieleweke kuwa natetea madawa bali nina uchungu na vijana wanavyoteketea mitaani
  9. S

    JamiiForums Tanzania Abdullatif Abdallah FUNDIKIRA ana tofauti gani na vigogo wa madawa ya kulevya?

    Kwa wale msiomfahamu, TIFF ni mtoto wa Waziri wa Kwanza wa Sheria Tanzania Chief A. Fundikira. Amemuoa Jack Patrick-Video Queen aliyetokea kwenye nyimbo ya marehemu Ngwea "She got gwan" na wimbo wa Daimond "Nataka Kulewa". TIFF alikamatwa mwaka jana nyumbani kwake Mbezi Beach baada ya mwanamke...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Maendeleo ya kesi ya 'Masogange' huko Afrika Kusini na hii ndiyo ripoti yenyewe...

    Sio kweli kuwa Kamanda Nzowa alienda Sauzi kwakua ule mzigo ni wa kwao. We Nzowa unamjua au unamsikia??? Huyo ni KAMAMNDA KWELIKWELI. NZOWA NA MWAKYEMBE NDO WATENDAJI BORA TZ. Hata hivyo mi najua kilichompeleka kule, yule jama ni MBOVU SANA WA 0713. Kiroho safi tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania TANZANIA Kuhalalisha MADAWA YA KULEVYA

    Uruguay hivi karibuni ilikua ni nchi ya kwanza kuhalalisha bangi baada ya kuona kwamba wameshindwa kabisa katika mapambano hayo. Tanzania pia inaonekana kuwa imeshindwa na may be haina political will ya kupambana na MADAWA YA KULEVYA. Rais JK alisema ana majina ya wauza unga tarehe 18.9.2006...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SUGU Agombee Urais tiketi ya CHADEMA 2015

    Kwakua nchi hii imejaliwa na neema na KWAKUA imeongozwa na Marais wasomi lukuki lakini hamna maendeleo yoyote yliyopatikana nashauri CHADEMA impe tiketi MZEE MZIMA SUGU...Kiroho safi tu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Vijana Tujitoe vyama vya siasa TU-WASUPPORT Independent Candidates!

    CCM imebaki kuwa ni Chama cha WAZEE NA WANAWAKE. CCM lamza ikae chini IJIULIZE IMEWAKOSEA NINI VIJANA AMBAO NDIO WALIKUA MTAJI WAKE MKUBWA??????
  14. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mapambano dhidi ya MIHADARATI aka NGADA, BWIMBWI,UNGA, SEMBE TANZANIA

    WAANDISHI WA HABARI TZ nawatupia lawama zoote katika mapambano haya maana mmekua HAMFUATILII KWA UKARIBU UTEKELEZAJI WA TAARIFA ZA VIONGOZI!!! FANYENI KAZI BANA. AU NA NYIE MMO????
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vijana Tujitoe vyama vya siasa TU-WASUPPORT Independent Candidates!

    "Maisha bora bila kufanya kazi?" KAZI ZIKO WAPI? Vijana wanamaliza chuo hakuna kazi MIZEE IMEKAA MAOFISINI HAITAKI KUSTAAFU!! AFU MIZEE SIKU HIZI IMEKUJA NA SINGLE MPYA KWAMBA MUDA WA KUSTAAFU UKIFIKA WANAFANYA KAZI KWA CONTRACT YA MIAKA MITATU. MIAKA MITATU IKIISHA WANARENEW..CHEZEA NYINYIEMU...
Back
Top Bottom