SUGU Agombee Urais tiketi ya CHADEMA 2015

SUGU Agombee Urais tiketi ya CHADEMA 2015

Senbe Noma

Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
38
Reaction score
5
Kwakua nchi hii imejaliwa na neema na KWAKUA imeongozwa na Marais wasomi lukuki lakini hamna maendeleo yoyote yliyopatikana nashauri CHADEMA impe tiketi MZEE MZIMA SUGU...Kiroho safi tu
 
kumbe unajua sio msomi halafu unataka aongoze, haujui matakwa ya katiba ktk sifa za mgombea urais?
 
....Ndiyo demokrasia......afuate taratibu za chama chake.........kwa mujibu wa katiba ya sasa......chama kitaamua.......hata wewe unaweza kugombea.....si dhambi....
 
Hata mimi naunga mkono ifike wakati tujiamini kuwa hata mimi naweza huo ndiyo ukomavu wa siasa tuache woga wa kuogopa vijana ''yes we can''
 
Back
Top Bottom