Kama kwel unajiamini na huo weledi wako wa hali ya juu, bas toa namba yako ya cm ili tutafutane iyo siku ikifika, ila usipotoa namba basi siwezi hata ku coment chochote make utakua unatafuta kick tu huna lolote
Mi napendekeza Liverpool waje mwezi wa 7 tarehe 7(yaani kwenye sikukuu ya sabasaba) halafu waalikwe Pia na hao
Manchestersaba Utd, then mechi irudiwe kwa mkapa.
Kwa wale wateja wa magoli
goli moja litanunuliwa Dollars milioni saba (7,000,000$)
Ngozi nyeusi bana hamna kitu kabisa, inchi hii warabu na waindi ni wengi sana hadi serekalini na majina yao ni ya kiarabu na kiindi na walio wengi wanaendaga likizo Oman kama nyumbani kwao ila hawajawai kubaguliwa hata kidogo, ila utakuta mtanzania real wa baba na mama anabaguliwa kisa katokea...
Ina maana yeye ndo kaiumba Tanzania au? Mbona hujasema ikitokea Nyerere kafufuka au hayati Mkapa?
Tanzania aliikuta ina kila kitu, na hata kama angekuwepo sio kwamba angetawala milele apana, mda wake ungeisha na angepisha wengine tu.
zile zilikuwa mbinu za kutaka kutukuzwa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.