hakuna nafuu cha muhimu ni kuondoa system nzima iliyooza ambayo ndio inasababisha tufikirie hivi kwa sababu baba riz 1 kafanya sub ya kichovu katoa afadhali kaingiza potelea mbali lowasa mwizi pinda mnafiki mlinda wezi na utendaji sifuri kwa ss hivi ha2wezi kupata waziri mkuu msafi ndani ya ccm...
wakina dada wengine wote wameamka ww unabakia kudanganyika na tabasamu hata 2kifanya kazi vp kwa ccm hii maendeleo hakuna jasho litutoke wazalendo kutajirika atajirike ridhi 1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.