Recent content by semzei

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sheria za Askari wa usalama barabarani ziangaliwe upya

    Sheria za Askari wa usalama barabarani ziangaliwe upya ili kuondoa malalamiko ya Madereva kunyanyaswa na Askari.Leo katika taarifa ya habari ITV tumeona madereva kusitisha huduma za usafirishaji katika Mkoa wa Songwe kwa madai ya kunyanyaswa na askari wa barabarani.Hivi kama unagombea shamba na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba & Mrema kwenye dhifa ya Zuma Ikulu, nini tafsiri yake kwa upinzani?

    Kazi maalumu kudhoofisha upinzani.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa Flora (Mbasha) kufunga ndoa ya pili

    Mathayo 19;5 Mungu hachanganywi na uchafu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bulembo matatani uuzwaji shule ya sekondari Tegeta

    Huyu alikuwa mdaiwa sugu wa halmashauri zetu.Iwe aaminiwe kwenye taasisi kubwa ya chama?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Kuna matukio yanapangwa nje ya chama cha CUF ili kifutwe kwa vurugu

    CUF Ikifutwa Lipumba ndio atabeba lawama.Na umma wa watanzania unajua kwamba Lipumba anatumika akisaidiwa na msajili ili kuleta vurugu na chama kufutwa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ifakara: Askari wa kike (WP) apasuliwa na jiwe katika paji la uso na kada wa CCM

    Tatizo sio nani kashinda .CCM lazima wakae chini kujiuliza kwa nini wamepoteza mvuto kwa wananchi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ifakara: Askari wa kike (WP) apasuliwa na jiwe katika paji la uso na kada wa CCM

    Tatizo sio naoi kashinda .CCM lazima wakae chini kujiuliza kwa nini wamepoteza mvuto kwa wananchi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge atakayeingia Kamati ya kuichunguza TISS atakuwa amejiteka mwenyewe

    Ni aibu idara nyeti ya serikali kusemwa hovyo kila mahali.Kuna haja idara hii nyeti ya usalama wa taifa kujiathimini labda wapo watu ndani ya idara wanavujisha siri za idara au wapo wanasiasa wanawatumia hovyo kinyume na majukumu yao au upo mgogoro ndani ya idara au wameajiri watu ambao uraia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania TUCTA kwenda mahakamani kuzuia Serikali kukata 15% badala ya 8%

    Walikuwa wapi wakati wote?Woga na Unafiki tu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Picha ya Mwl. Nyerere iondolewe kwenye wimbo wa Diamond

    Tutashangaa iwapo Waziri wa Habari na BASATA kama hawatachukua hatua dhidi ya Diamond. Kila siku tunaona CD fake zinavyokamatwa iweje mtu atumie picha ya kiongozi wa Taifa bila ya ruksa toka katika Familia .Anatakiwa Diamond aondoe picha hiyo na aiombe radhi Familia ya Baba wa Taifa na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Picha ya Mwl. Nyerere iondolewe kwenye wimbo wa Diamond

    Tutashangaa iwapo Waziri wa Habari na BASATA kama hawatachukua hatua dhidi ya Diamond. Kila siku tunaona CD fake zinavyokamatwa iweje mtu atumie picha ya kiongozi wa Taifa bila ya ruksa toka katika Familia .Anatakiwa Diamond aondoe picha hiyo na aiombe radhi Familia ya Baba wa Taifa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kanisa Ufufuo na Uzima: Gwajima awazungumzia Diamond, Halima Mdee kumtusi Spika na Utekaji

    Hilo kanisa mbona haliongei mambo ya Mungu linaongelea watu , uzushi na siasa kwanini hilo kanisa lisifutiwe usajili kama alivyofanyiwa Dr aliyejifanya bingwa wa magonjwa ya wanawake.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama unashangaa ubabe aliyofanyiwa Shyrose Banji, basi hujayasikia ya Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu

    Njaa mbaya sana.Mtu anadhalilishwa mbele ya mtoto kimyaa.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la aibu kwa mkuu wa watunga sheria (spika) kuagiza mwanamke afungwe pingu

    Kwani hakuna sheria kiongozi akiwa mgonjwa akapumzishwa kwa lazima?
Back
Top Bottom