Ifakara: Askari wa kike (WP) apasuliwa na jiwe katika paji la uso na kada wa CCM

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Ifakara. Polisi wilayani Kilombero Tarafa ya Ifakara wamelazimika kurusha mabomu ya machozi ili kuwatawanya mashabiki wa vyama vya siasa waliotaka kuvamia kituo cha kupigia kura cha Mbasa Mlimani.

Mashabiki hao walitaka kuvamia kituo hicho katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mbasa, baada ya mawakala kutokubaliana na matokeo.

Katika vurugu hizo askari Huruma Mkisi alijeruhiwa kwa kupigwa jiwe kichwani na mtu asiyefahamika na hivyo kupelekwa katika Hospitali ya Mtakatifu Francis ya Ifakara kwa ajili ya matibabu.

Awali, mashabiki hao walianza kwa kulalamikia matokeo ya uchaguzi kucheleweshwa kutangazwa na hivyo kuwatilia shaka mawakala ambao walikuwa wakibishana kuhusu idadi ya kura walizopata wagombea wao.

Akitangaza matokeo, msimamizi wa Uchaguzi huo Gaston Kaputa alimtaja mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Kijiji cha Kisawila kuwa ni Shaaban Salahange wa CCM aliyepata kura 557 aliyefuatiwa na Odric Matimbwa (Chadema) aliyepata kura 528 huku mgombea wa NCCR-Mageuzi Bakari Mkungundile akiambulia kura mbili.

====

fb_img_1493093912125-jpg.500822

OCD Kilombero, Salaam!

Ninatoa pole kwa Askari Mwanamke,WP Huruma aliyepigwa kwa tofari kwenye paji la uso na kushonwa nyuzi tano siku ya jana, tarehe 23.4.2017, wakati akilinda na kudumisha amani katika kituo cha kutangazia Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mbasa Kati, mji wa Ifakara.

Tukio hili limetokea wakati bado tunakumbukumbu ya mauaji ya Askari wetu nane yaliyotokea huko Kibiti. Hali hii ya kushambulia na kuwazuru Askari wetu haiwezi KUVUMILIWA.

Ndugu OCD, ninatambua unamtambua aliyemjeruhi Askari wako kwani majeruhi amemtambua na wananchi mashuhuda wanamtambua. Anaitwa Max Temba.

Ninatambua viongozi wake wa CCM wamekuja leo tarehe 24.04.2017 asubuhi ofisini kwako na kukulazimisha msimchukulie hatua za kisheria kijana wao aliyefanya tukio hilo.

Ninasubiri kuona maamuzi utakayochukua.

P. Peter Lijualikali
Mb. Kilombero
 
Watu wanauana, serkali ya kitongoji? Hivi kuna mantiki kuwa na upinzani wa kisiasa sehemu ya chini hivyo? Hawa ni wanakijiji hawazidi 100 majirani wanajuana, wanaletwa morani kutoka Moshi kuwachanganya. Bora wangepiga kura chini ya usimamizi wa wazee bila kuhusisha vyama. Hii ni sawa na kuuana kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Kwaya wakati juu kuna Papa wote ni wake.
 
mwaka 2020 wabunge wa vyama vya upinzani wakachezage kufa na kupona
kwamaana dalili sio nzuri.
 
FB_IMG_1493093912125.jpg
OCD Kilombero, Salaam!

Ninatoa pole kwa Askari Mwanamke,WP Huruma aliyepigwa kwa tofari kwenye paji la uso na kushonwa nyuzi tano siku ya jana, tarehe 23.4.2017, wakati akilinda na kudumisha amani katika kituo cha kutangazia Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mbasa Kati, mji wa Ifakara.

Tukio hili limetokea wakati bado tunakumbukumbu ya mauaji ya Askari wetu nane yaliyotokea huko Kibiti. Hali hii ya kushambulia na kuwazuru Askari wetu haiwezi KUVUMILIWA.

Ndugu OCD, ninatambua unamtambua aliyemjeruhi Askari wako kwani majeruhi amemtambua na wananchi mashuhuda wanamtambua. Anaitwa Max Temba.

Ninatambua viongozi wake wa CCM wamekuja leo tarehe 24.04.2017 asubuhi ofisini kwako na kukulazimisha msimchukulie hatua za kisheria kijana wao aliyefanya tukio hilo.

Ninasubiri kuona maamuzi utakayochukua.

P. Peter Lijualikali
Mb. Kilombero
 
Mwigulu wa Olasiti bombing!! No way what comes around goes around =Nemesis!! wait a bit
 
View attachment 500822 OCD Kilombero, Salaam!

Ninatoa pole kwa Askari Mwanamke,WP Huruma aliyepigwa kwa tofari kwenye paji la uso na kushonwa nyuzi tano siku ya jana, tarehe 23.4.2017, wakati akilinda na kudumisha amani katika kituo cha kutangazia Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mbasa Kati, mji wa Ifakara.

Tukio hili limetokea wakati bado tunakumbukumbu ya mauaji ya Askari wetu nane yaliyotokea huko Kibiti. Hali hii ya kushambulia na kuwazuru Askari wetu haiwezi KUVUMILIWA.

Ndugu OCD, ninatambua unamtambua aliyemjeruhi Askari wako kwani majeruhi amemtambua na wananchi mashuhuda wanamtambua. Anaitwa Max Temba.

Ninatambua viongozi wake wa CCM wamekuja leo tarehe 24.04.2017 asubuhi ofisini kwako na kukulazimisha msimchukulie hatua za kisheria kijana wao aliyefanya tukio hilo.

Ninasubiri kuona maamuzi utakayochukua.

P. Peter Lijualikali
Mb. Kilombero
Matokeo ya huo uchaguzi yalikuwaje!!!!?

Kwanini askari apigwe tofali mbele ya wananchi!!??
Au hawakuwa na hasira kali hao wananchi?
 
Back
Top Bottom