Recent content by semmysemmo

  1. S

    Mange amshambulia Lulu

    Wale wale kwani leo lini na pia kuna tea breaks, lunch break na evening hour au let me make it simple tunacomment wakati wa leisure time
  2. S

    Mange amshambulia Lulu

    Hili halitaisha maana watanzania tunapenda ujinga natamani sana Mange asingeniblock walai angenitambua... kidogo tu ukichallenge anakublock if shes that strong na yeye akubali critics. In short Mange ni housegirl mwenye asiye na kazi u can imagen atakuwa anafikiria nini most of the time. Sent...
  3. S

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Ndo kutaka kusema wamemnunua? Sent from my SPH-L720 using JamiiForums mobile app
  4. S

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Nilikuwa sijui kama kweli wanakisasi kiasi hichi yaani kutoungwa mkono na Raila ndo wamehamia kwingine.. Siasa bana ikifika 2020 Kenyatta asipowaunga mkono wanaamia kwa Raila tena na wacha mchezo uendelee.... The only problem is the man is a good loser asije akamwambukiza na Kenyatta... na waza...
  5. S

    Lowasa anautaka u Rais kwa nguvu zote

    Tuweke ushabiki wa vyama pembeni na pamoja na mengi mabaya aliyoyafanya ambayo mimi bado sijajidhihirisha but i do blv this country need someone like him and we need him soon. Trust me its better to give someone a chance that we do know all about his bad side than giving a trial to someone that...
  6. S

    Nani anayeweza kuwa raisi kutoka chadema? Maoni na vigezo vigezo vizingatiwe

    Tunatakriban mwaka mmoja wa kutafakari kabla ya uchaguzi 2015. Kwa mwenendo wa wabunge wetu waupinzani hasa Chadema na kwa vitendo vyao mimi nashindwa kuona ni nani ambaye anaweza kuwa Mgombea Raisi kwa mwaka 2015. Wewe kama mdau wa siasa je wadhani ni nani anaweza kusimama na kugombea Uraisi...
  7. S

    Leo nimekiri yeyote aliyewahi kuipigia CCM kura hana akili timamu

    Kwa kweli sikupiga kura ila hata kama ningepiga bado nisingewapigia chadema. Naona ni waroho wa madaraka na wanaupungufu wa ushawishi na sio bure hawakupewa thamana ya dola
Back
Top Bottom