Upuuzi huu! Kutoka naibu Mkurugenzi hadi Katibu Tawala wa Mkoa? Kwanini asiombe kustaafu akalea wajukuu kuliko kudhalilishana namna hii?
Naona mheshimiwa anazidi kujitengenezea maadui.
Inawezekana ni zile pesa zilizotumika bila kuidhinishwa na Bunge, labda ndio zile zilizotumika kununulia ndege? Au kukomboa ile ndege yetu pale Canada? Au kutoa misaada nje ya nchi? Au kununulia mboga
Pambafff!!! Ww mahusiano ya watu wawili waliokubaliana wenyewe unaanzaje kuyaingilia?
Mwanamke amejipeleka kwa mwanamume yeye mwenye akiwa na akili zake timamu akavua chupi yake bila kulazimishwa na matokeo yakapatikana.
YA NGOSWE MUACHIE MAZOEA
Ana ushahidi? Ingawaje hautasaidia maana yule mwingine ushahidi ulitolewa hatima yake jamaa kapanda cheo. Ila kama anao autoe kwa ajili ya kutunza kumbukumbu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.