Recent content by sematena

  1. sematena

    Betpawa kulikoni?

    Toka tarehe 27 October 2023, kampuni ya michezo ya kubashiri betpawa inashindwa kutoa (withdraw) pesa kwa wateja wake. Changamoto hii mpaka sasa bado ipo, kiasi kwamba kuna baadhi ya wadau wana hofu huenda ikawa ndiyo mwisho wa kampuni hiyo kuwepo hapa Tanzania na pesa zao walizoshinda baada ya...
  2. sematena

    Mambo 4 yaliyofanyika ndani ya saa 48 kuzima kasi ya uchangishaji faini za Viongozi wa CHADEMA

    Kwa TV tutakuwa tunaangalia premier league tu! 🤣
  3. sematena

    CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Wananchi wamechanga kufikisha ujumbe kuwa wamechoka siasa za kinafiki, siasa za uonevu, siasa za kizindaki, siasa za uongo, siasa za kitoto, siasa za kijinga kabisa, siasa za... Wananchi wanajua sana kuwa Chadema inapata ruzuku kubwa baada ya ccm, lakini wameamua kuchanga. Na wapo wanachama...
  4. sematena

    Aliyenizidi umri anapokataa salamu ya shikamoo nimpe salamu gani?

    Kwanza "shikamoo" maana yake nini?!!!... Ukimsalimia mtu anaitikia "marahaba" hata haujui kama hiyo mtu ipo gonjwa au la! 🤣
  5. sematena

    Man killed for having sex with mother

    Ni ....saa tatu baadaye... na siyo "....masaa matatu" baadaye...
  6. sematena

    Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Wameiba Dar [Kariakoo na Samora] 'mammilion ya fedha' halafu wameendelea kuishi Dar [Ukonga na Mbagala] na bado waliendelea kutumia na kuwasiliana kwa namba za simu zile zile, majirani wanaona leo una gari mpya tatu, nne na mavitu ya thamani ndani ya wiki mbili tu. Baada ya siku 17 unakamatwa...
  7. sematena

    Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Wewe ulitaka walipwe kiasi gani ili wasiibe?!!!
  8. sematena

    ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    Poleni wafiwa na wadau wote wa mashindano ya magari. Ndiyo ajali imeshatokea tunajifunza kutokana na makosa. Inaonyesha kuwa hakukuwa na taarifa ya kutosha kutoka kwa watumiaji wengine wa barabara mpaka dreva anakuja kuingiza gari barabarani wakati mashindano yameshaanza. Au hakukuwa na...
  9. sematena

    Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

    Kweli amepata mialiko yote hiyo 22? Mbona jiwe haitwi jamani?!!! Hata mualiko japo ¼ (....eeh yaani mualiko robo tu hajapata kutoka vyombo vya nje?!). Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sematena

    Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    Kwa hiyo kila anayepinga kauli tata ni mpinzani?!!!
Back
Top Bottom