Recent content by Sema Sasa

  1. Sema Sasa

    Baada ya TCRA kuzuia local channels, Chaneli za Kigeni zinazotumia Kiswahili zashika usukani. Kenya yatawala soko

    Awamu hii kumekuwa na kauli za visingizio vya kuwasaidia walahoi huku hao walala hoi ndio wanaoteseka. Unaondoa local channel kwenye vingamuzi vinavyopatikana all over Tanzania na kutuletetea mavingamuzi hata yanapatikana wapi hatujui ni ujinga. Pili baishara iwe uria anayependa kulipia aende...
  2. Sema Sasa

    Safari ya demokrasia Tanzania: Baki upinzani upate tabu au hamia CCM upate cheo

    Kwa staili hii ya ruswa ya vyeo kwa wapinzani, na kuwafunga au kuwapiga au kuwanyanyasa wapinzani, machaguzi ni mawili tu , kuhamia ccm ule raha au kubaki upinzani familia yako ikusahahu. Nawashauri upinzani , kaeni kimya , kuleni maisha na familia zenu. Tuacheni wananchi tunyooke kwanza.
  3. Sema Sasa

    Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    Acheni unafiki, wangapi wanaajiriwa serikalini bwana. Nani anapenda kufanya kazi za mkataba wa mwaka mmoja mmoja, wewe kila mwaka badala ya kufikiria kazi unawaza kurenew mkataba, mambo ya private hayo
  4. Sema Sasa

    Al Jazeera TV ilivyoripoti maandamano ya 26/04/2018

    Dr Mange, sikufikiria kama sauti yake ingefika mbali hivi. Hongera sana.
  5. Sema Sasa

    Rais Magufuli: Mkisema mnaomba chakula mnakufa, nitasema tu kufa. Hakuna chakula cha bure

    Kauli ya hovyo kabisa. Kwani serikali inavyo kwenda kuomba pesa kwa wahisani nje, hao ,kwao hawajengi barabara au hawanunui ndege?
  6. Sema Sasa

    Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Leo nimepata taarifa toka Njombe, walimu wamemvaa Mkuu wa mkoa, wanataka stahiki zao za Uhamisho, walimu hawa wanafundisha saa ngapi? Serikali walipeni hwa walimu fedha zao , au sitisheni hilo zoezi la uhamisho.
  7. Sema Sasa

    Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Ndugu Ndugu hakuna walimu waliozidi, kinachokimbiwa hapa ni ajira mpya kwa walimu wa grad A, . Sekondari walimu wanahitajika sana , wanafunzi ni wengi na hata idadi ya shule za sekondari hazitoshi kubeba wahitimu wote wanaofaulu toka primary.
  8. Sema Sasa

  9. Sema Sasa

    Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Acha Acha ujinga, kila mtu awe kama ulivyo Wewe itawezekana. Kweli machizi ni wengi sana Tanzania.
  10. Sema Sasa

    Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Acha ujinga, hata wewe kazi unayofanya imelaaniwa ndio maana kichwa chako kimejaa pumba
  11. Sema Sasa

    Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Acha majibu ya kijinga kwa mambo yanayodhalilisha na kuumiza watu wengine. Mbona wao wanapohamia Dodoma wanajilipa fedha za uhamisho? Kwa kuwa Wewe haujaguswa basi kila jambo linalofanyika liwe baya au zuri wewe sawa tu. Acha ubinafsi
  12. Sema Sasa

    Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Hakuna atakaye lalamika kama taratibu zitafuatwa, kwa nini umuonee mtu, mlipe stahiki zake , mwelekeze cha kufanya , atafanya tu. Tuache majibu ya kitoto kwenye mambo yanayoumiza watu na kidhalilisha utu Wa mtu kisa tu halijakufika.
  13. Sema Sasa

    John Mallya: Fatma Karume ndio zawadi kubwa ambayo wajumbe wa TLS wanaweza kujipa wenyewe

    TLS wabadilike sasa, cheo cha mwaka mmoja akina maana kabisa, nothing you can do within 12 months only.
  14. Sema Sasa

    Mh, Rais: Uhamisho wa Walimu sekondari kwenda Msingi ni janga, ingilia kati.

    Mwezi wa kwanza hadi wa tatu, ulitolewa waraka wa kuamisha walimu wa masomo ya Sanaa baadhi toka shule za sekondari kwenda shule za msingi Tanzania yote. Agizo hilo lilitekelezwa na wakurugenzi wa halmashauri zote, maafisa Elimu msingi na sekondari, maafisa utumishi na wakuu wa shule, kwa...
  15. Sema Sasa

    Mbeya: Aamka, akuta jeneza nje ya nyumba

    Ningelifanya boxi la vifaranga au kutagia kuku.
Back
Top Bottom