Recent content by sema neno

  1. S

    Msaada wa Serikali unahitajika kwa haraka sana kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu SAUT Mwanza

    Wadau habari za wakati huu napenda kupitia jukwaa hili pendwa kuweza kufikikisha ujumbe na mateso ya wanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT kwa Waziri wa Ardhi nyumba na makazi Mh Lukuvi kuhusu manyanyaso wanayopata wanafunzi wanaoishi Hostel za nje ya chuo kutoka kwa wamiliki wa Nyumba. Kwa miaka...
  2. S

    Picha: Kaburi la Ruge laanza kuchimbwa huko kijijini kwao Bukoba

    mbona kaburi kubwa sana au ndo mila za kihaya
  3. S

    Huu wizi wanaofanyiwa watoto wa wakulima hapa SAUT Mwanza haukubaliki

    Mkuu hata wajinga huzeeka ninyi ndo mnaoendelea kudidimiza taifa hili kwa poor reasoning kama yako unaona wanayofanyiwa wadogo zetu ni sawa nadhani wewe hadi hapo ulipo utakua unaishi kwa shemeji yako ndo maana ukaja na hoja mbuzi kama hii
  4. S

    Huu wizi wanaofanyiwa watoto wa wakulima hapa SAUT Mwanza haukubaliki

    mzee ukitaka ushahidi ulinza mwanafunzi yeyote anaesoma chuo hiki au somesha saut ndo utajua ninayoyasema mpaka sasa madogo hawana kadi za mtihani na j3 wanaanza mtihani ukiuliza sababu ni za kijinga haijawai tokea
  5. S

    Huu wizi wanaofanyiwa watoto wa wakulima hapa SAUT Mwanza haukubaliki

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine wamekuwa wakishuhudia wizi mkubwa wanaofanyiwa na chuo hiki huku zaidi ya millioni 700 zikiliwa mbele ya macho yao. Serikali ilianzisha mpango wa wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na Bima ya Afya kwa lengo zuri na kuwasaidia watoto wa wakulima kuweza...
  6. S

    SAUT Mwanza hakina sifa tena ya kuitwa Chuo Kikuu, Serikali kitazameni upya

    Mkuu hakuna uwakilishi hapa ni wapuuzi mtupu
  7. S

    SAUT Mwanza hakina sifa tena ya kuitwa Chuo Kikuu, Serikali kitazameni upya

    Mkuu sio kulalamika mambo yanayoendelea hapa ni unyama sana unaweza jiuliza wafanyakazi wa hiki chuo hawajasoma yaani mtu uzembe wao wa kutokuonyesha matokeo unabebeshwa wewe ajabu booklate zilizotumika mwezi wa saba tu unaambiwa hazipo ludia mtihani dada mmoja kahitimu kabisa na jina kwenye...
  8. S

    SAUT Mwanza hakina sifa tena ya kuitwa Chuo Kikuu, Serikali kitazameni upya

    Madudu yanayofanyika katika chuo hiki yamekithiri katika mwaka wa masomo 2017/018. Baada ya kubadilisha system ya kuhifadhia matokeo awali SIMS na kuleta OSIM imeleta vilio kwa wanafunzi wengi huku wengine wakishindwa kugraduate na wengine kushindwa kupata fedha zao za kujikimu kutokana na...
Back
Top Bottom