Huu wizi wanaofanyiwa watoto wa wakulima hapa SAUT Mwanza haukubaliki

Hao wanyonyaji washughulikiwe hiyo bima kwa mwanafunzi ni 50400 na hakuna penalt
NHIF kamateni hao wezi
 
Baba yako naona anapoteza ada.

Una akili ndogo kama Magufuli.
Unajaribu kujipa moyo baada ya kuandika ujinga nami nikakujibu ujinga sawa na ujinga wako wa mwanzo.

Magufuli ni rais hata ukisema ni mjinga bado hutamuathiri kwa lolote, ujinga alionao Magufuli anaongoza nchi na wewe mwelevu umo ndani ya nchi hiyo hiyo inayoongozwa na mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ambacho hizi taasisi za dini hasa kwenye afya na elimu wanafikiri saivi bado wapo karne ile ya "kama hutaki ondoka" kutokana na huko nyuma hasa kwenye huduma za afya kuwa haba kwa upande wa serikali hizi taasisi za dini ndio zilikua the last and only option kwa maeneo mengi lakini saivi hii kasi ya JPM ya kujenga na kuboresha huduma za afya kwenye taasisi za serikali kumeleta competition kubwa sana kati ya public and private

Na sasa wengi wanaenda serikalini na kuacha private sababu walikua na ile mentality ya "kama hutaki ondoka" saivi hapo Sekotoure serikali inafanya mapinduzi makubwa hapo Bugando wasipojiangalia watadoda lazima sababu wagonjwa watahama na serikali itahamisha pesa zake huko, hata KCMC ukiangalia pesa wanayoingiza na maendeleo ya hizo taasisi ni usiku na mchana, hakuna chochote wanachofanya na hakuna maeneo yenye ufisadi wa kutisha kama kwenye hizi taasisi za dini sijui ni sababu hawana auditor General au vipi, kuna muda utafika itakua too late, hivyo hivyo kwenye vyuo vyao, wanapata wanafunzi wengi lakini miundombinu yao mibovu kama hapo SAUT pamekaa kichovu madara, dormitories na facilities nyingine havina hata uhusiano na hilo jina la SAUT kwa namna unavyolisikia likitajwa.

Mjitafakari sababu kuna mpango wa serikali 2020 2025 kutakua na ujenzi wa vyuo vikuu ambavyo lazima viwaondoe nje ya reli kabisa, kuna uwezekano mkageuza hivi vyuo vyenu vocational colleges kama mkiendelea na mazoea.
 
Unajaribu kujipa moyo baada ya kuandika ujinga nami nikakujibu ujinga sawa na ujinga wako wa mwanzo.

Magufuli ni rais hata ukisema ni mjinga bado hutamuathiri kwa lolote, ujinga alionao Magufuli anaongoza nchi na wewe mwelevu umo ndani ya nchi hiyo hiyo inayoongozwa na mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila aliyeko JF yuko Tanzania ?

Fikra zako ni sawa na urefu wa pua zako.
 
Lisemwalo lipo na kama halipo laja cha msingi serikali isipuuze hizi habari ifuatilie ili kufahamu ukweli then haki itendeke sababu kama watu wakifanyiwa dhulma na wao huko mbelini watatafuta namna yakulipiza hiyo dhulma hata kwa watu wengine.
 
Argument ni very poor. Kama unaona unayonywa. Kwanini usiende kwenye mamlaka husika kuwashtaki?
Wanafunzi wa chuo kikuu Mwanza wamekua wakishuhudia wizi mkubwa wanaofanyiwa na chuo hiki huku zaidi ya million 700 zikiliwa mbele ya macho yao. Serikali ilianzisha mpango wa wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na Bima ya Afya kwa lengo zuri na kuwasaidia watoto wa wakulima kuweza kuapata huduma ya afya kwa unafuu kwa taratibu za NHIF ghalama za Bima kwa mwanafunzi ni Tsh 54000 lakini SAUT wanawaibia hawa watoto wa masikini kwa kuwalipisha 100000 kwa kila mtu kwa SAUT hii nafasi imekuchukuliwa kama nafasi ya kuwanehemesha baadhi ya wafanyakazi wa chuo hiki mwaka wa masomo 2017/2018 chuo chenye wanafunzi zaidi ya 8000 waliopata kadi za Bima hawakuzidi 1000 na wengine hawakupata huku wakiwa wamelipia kila mtu kiasi cha shilingi laki moja tena kwa lazima hata kwa ambao wanamiliki Bima za wazazi wao sijui huu mpango kama ni lazima au hiari ya mtu mbaya zaidi hata hao waliopata kadi hazikufanya kazi kutokana na kutolipiwa.
Katika mwaka huu wamasomo zoezi limeendelea vile vile watu wanakadi za bima za wazai wao ajabu wanalazimishwa kulipia tena bima huku wale ambao hawakupata mwaka jana wakilazimishwa kulipia tena huku pesa zao za mwaka jana zikiwa hazina majibu kuwa ziko wapi na zilifanya kazi gani?
PENALTY
Hapa pia kwenye penalty kumekuwa na wizi wa makusudi joining instruction ya SAUT inaonesha ulipaji wa Ada ni mara mbili kwa sermister lakini wadogo zetu wamekua wakifaniwa ndivyo sivyo Mdogo wangu kalipoti chuo mwezi wa pili tu analazimishwa kulipa 911000 ikipungua hata 100 anapigwa penalty ya laki moja na huu mchezo umekuwa endelevu jamani Baraza la Maaskofu sidhani kama alianzisha chuo hiki kuwaumiza watoto wa masikini bali ilikuwa kuwasaiodia badala yake imekua ni maumivu mtu hana mkopo anajisomesha kwa kuungaunga alafu unampiga penalty huku ukimnyima hata kufanya mtihani
Madogo wanatazamia kuanza mitihani jumatatu lakini naambiwa wengi hawajapata kadi za mitihani sababu ikiwa ni penalty huku wengine system lao bovu likiwa linaonyesha wanadaiwa lakini hawadaiwi jamani hebu tuhurumieni tunaosomesha tunaumia acheni hizi mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vyuo unavyoviita vya sirikali ndivyo vilivyoiozesha nchi hadi tulipofikia. Usipende kuishi kwa mazoea. Bila taasisi binafsi imara kwenye nyanja zote, nchi itaangamia.
 
Argument ni very poor. Kama unaona unayonywa. Kwanini usiende kwenye mamlaka husika kuwashtaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata wajinga huzeeka ninyi ndo mnaoendelea kudidimiza taifa hili kwa poor reasoning kama yako unaona wanayofanyiwa wadogo zetu ni sawa nadhani wewe hadi hapo ulipo utakua unaishi kwa shemeji yako ndo maana ukaja na hoja mbuzi kama hii
 
Back
Top Bottom