WaTanganyika wenzangu.
Ni wakati muhimu sasa tukatambua kwamba, kwa miongo mingi ya utawala wa serikali ya CCM, nchi imekuwa ikiendeshwa kama taasisi ya watu binafsi. Chini ya uongozi na himaya ya CCM na serikali zake, Tanganyika imekuwa ikifisadiwa huku waTanganyika tuki dhulumiwa katika...