Recent content by Selule

  1. S

    Waitara: Mwenye mamlaka na fedha za mfuko wa Jimbo ni DC pamoja na DED na si Mbunge

    Wabunge m sikanyage sheria mlizotunga. Wewe hayo yakifanyika jimboni kwako utafurahi? Jambo lililotakiwa ni Kamati kuitishwa na kama Mwenyekiti yaani Mbunge hayupo wajumbe wamteue mmoja wao aongoze kikao.. Mhe.,Waziri hapo unavunja Katiba uliyoapa kuilinda, kuidumisha na kuitetea.
  2. S

    Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

    Wahenga walisema "ajidhaniae kasimama aangakie asianguke". Wewe unayetumia mazingura ya sasa ya Siasa nchini kuwatuhumu wenzie kwa Nia ya kutafuta zawadi ya U-DC geuka nyuma Na ukumbuke kauli za Sumaye 2000 kuwa mfanyabiashara asiyepeperusha bendera ya CCM atanyang'anywa leseni. Kauli hiyo...
  3. S

    Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru WA watu kuanzisha ama kujiunga Na vyama ili kufikua madhumuni yalio nayo Vyama vya Watanzania wanaotka eneo moja la nchi wanaoishi nje ya eneo lao la kuzaliwa huwrza kusajiliwa chini ya Sheria ya Societies Act (zamani Societies Ordinances)...
  4. S

    USHAURI: Kwa maslahi ya nchi, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 ufanyike kwa ngazi ya Ubunge na Madiwani tu

    Hivi Kama ungekuwa umekwishzaliwa 1985 wakati Mwl. Nyerere anag'atuka ungesema nini? Unafikiri kuwa uamuzi wa namna ya kujipanga kufanya Ni busara za kawaida tu? Wakati Katina inafanyiwa marekebisho mwaka 1992 ulikuwa wapi? Acha kupotosha Watanzania kwani Rais amekwisha tangaza kuwa yeye...
  5. S

    Rais Magufuli: Mtu akitaka kukiona cha moto ajaribu kumshambulia Mwana-CCM aliyevaa kijani

    Kauli ya Mhe. Rais isitafsiriwe vibaya. Kwa uelewa wangu maana yake Ni haki ya Kikatiba ya kujiunga Na chama au kufuata itikadi uipendayo iheshimiwe. Hata hivyo Kuna maeneo ambayo wafuasi wa vyama mbalimbali wamekuwa wakinikera Sana. Msiba sio jukwaa la Siasa. Lakini wafuasi hai badala ya kuvaa...
  6. S

    Maeneo yanayoongozwa na CHADEMA wananchi wagoma kujiandikisha kupiga kura!

    Msipojiandikisha na kupiga Kura mtaongozwa na manunda we atakaotunga sheria ndogo zitakazoongoza na kuamua mustakabali wenu na mali zenu. Usidanganywe, kajiandikishe uchague kiongozi bora atakayesimamia maslahi yako. MUNGU IBARIKI TANZANIA, WAJALIE WAJA WAKO HEKIMA NA MAARIFA
  7. S

    Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM Mkoa wa Ruvuma wakubaliana Rais Magufuli aendelee kuongoza miaka 20 mbele

    Wajumbe hao wamekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977. Chama kiwachukulie hatua vinginevyo Mwanasheria Mkuu wa Serikali aingie ulingoni kuitetea Katiba kama alivyoapa kuilinda Na kuitetea. WanaCCM lazima tuongoze. Njia katika kuheshimu Katiba na sheria za nchi.
  8. S

    Joseph Selasini: Tunapata wapi msuli wa kudai demokrasia ndani ya nchi wakati tunaonyesha mkakati wa kuizuia ndani ya chama?

    Ukilinganisha Na viongozi WA CUF Bwana Lipumba, UDP Bwana Cheyo Mbowe ameingia juzi tu. Kama Katiba inamruhusu mwacheni yaendelee. Wengi wanaopiga kelele hapa sio wanachama WA CDM Ni mamluki. Sisi WA Lumumba tuwaachie WA Ufipa mifupa yao ikiwakwama haituhusu.
  9. S

    TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

    Afrika Kusini alipelekwa Na familia? Kwanini familia ithibitishe kifo cha Mtendaji Mkuu wa idara ya serikali? Taarifa hiyo Ina ukweli gani?
  10. S

    Majaliwa Kasimu Majaliwa: Waziri Mkuu ambaye ameweka alama ya Uongozi kuliko Waziri Mkuu yeyote yule toka tupate Uhuru

    Wewe Alex unajua maana ya Waziri Mkuu? Hivi huyo unayemtaja kweli unaweza kumlinganisha Waziri Mkuu WA kwanza wa Tanganyika Mwl. Julius Kambarage Nyerere, au Rashidi Mfaume Kawawa, Edward Moringe Sokoine, Cleopa David Msuya, Joseph Sinde Warioba, Salim Ahmed Salim, Edward Lowassa? Kama...
  11. S

    Hoja binafsi: Ninaomba Bunge lifute vyama vingi tubaki na chama kimoja cha CCM

    Acha udumavu wa akili. Wakati Mwl. Nyerere akituunganisha na kushawishi kuwa mazingira yetu na wakati tuliopo unatutaka tukubali demokrasia ya vyama vingi ulikuwa hujazaliwa na hujui mateso tuliopitia chini ya chama kimoja. Ombi lako ni sawa ma mtu aliyetapika na kutaka kurudia kula matapishi...
  12. S

    Zitto Kabwe: "Hatudanganyiki - Septemba 2015 mishahara Serikalini ilikuwa 523B lakini Julai 2019 ni 566B!"

    Mhe. Zitto Kabwe, Asalaam Alaykum. Binafsi nakushukuru kwa takwimu ulizotupa kupitia Twitter account yako. Hata hivyo bila kupoteza muda naomba nikukumbushe kuwa hadi kufikia mwaka 2015/2016 wakati Sheria ya Bajeti ya 2015 ilipoanza kutekelezwa taasisi nyingi za umma zinazokusanya maduhuli...
  13. S

    Lengai Ole Sabaya apewe mkoa wa Morogoro

    Hivi kama huna sifa ya kuwa .mwanafunzi wa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli unapata wapi sifa ya kuwa mwalimu wake Mwacheni Rais afanye kazi zake kwa kuongozwa Na hekima Na maarifa itokayo kwa Mungu Mwenyezi.
  14. S

    Kutoka Mkoa wa Mara: Marufuku kunyonya matiti ya wanawake

    Our leaders need to be selective of the appropriate words and orders they give to their subjects. Some orders including this one are not enforceable because it touches people's privacy and runs counter their interests.
  15. S

    GE2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

    Hongera Bernard Membe. Hata hivyo kwa kuwa najua ukipata Urais tutapata taabu zaidi kuliko wakati wo wote wa Uhuru WA Taifa letu siku ukichukua fomu nami pia nitachukua kwa sababu najua wazi kuwa naweza kuwa Kiongozi bora kuliko wewe. Tunavyokujua ulivyo na visasi visivyoisha!! Pisha ibilisi wewe
Back
Top Bottom