Recent content by selemala

  1. selemala

    JamiiForums Tanzania CCM mayday mayday

    Ilishakufaga (brain dead) kitambo... tunasubiri watoe machine (dola ) tu...
  2. selemala

    JamiiForums Tanzania EXTRAVAGANZA Safari's za treni ya SGR reli ya kati

    Sio utamaduni... watasubiri mpaka utokee uharibufu mkubwa... ndio watumie Bilions kurekebisha...
  3. selemala

    JamiiForums Tanzania Janeth Rithe ahojiwa kwa saa 5, aendelea kushikiliwa polisi

    Wanaposema No Reforms No Elections, ni nini Hua akieleweki? Labda kama ACT wamekula mchongo na CCM, ili wapewe majimbo -> ruzuku -> ushikiri katika serikali ya Zanzibar.. etc...na hii ni uigizaji, na hivyo wameamua kusindikiza UCHAFUZI... vinginevyo?!!
  4. selemala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Tusilazimishe Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama Kufanya Mengine"

    Tafsiri. Mkizuia nia yangu ya kuwa raisi wa kuchaguliwa, nitawamrisha vyombo vya dola vifanye mengine. Watatii amri tu kwa kuwa na yao ni wanufaika.
  5. selemala

    JamiiForums Tanzania Kikwete, kwa heshima na taadhima hujatimiza wajibu wako kama Mzee wa Taifa, Rais Mstaafu kumshauri Rais wetu

    Kwamba akimshauri ushahuri wake utakua ni kinyume na yanayoendelea? Sijui tutaendelea kuwaamini binadamu mpaka lini...
  6. selemala

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

    Ili tu uonekane umetabiri sawa... bila kujali consequences... SMH..
  7. selemala

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanawapa hela upinzani huku CCM inawapa hela wananchi wawachague inatupa picha gani ?

    Ilishakufa kitambo, limebaki kundi la wajanja wachache wanatumia jina kwa maslahi binafsi.
  8. selemala

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NO REFORMS NO ELECTION
  9. selemala

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

    Tanganyika ina matatizo mengi makubwa ya kutengezwa., ambayo ni lazima tuyatatue ili Tanganyika isife na ipate maendeleo ya vitu na watu. Maja ya matatizo hayo ni MUUNGANO. Huu Muungano kama ulivyo umekua UKIIKABA KOONI Tanganyika ili ife. Aina ya Muungano inayokubalika ni wa; 1. Serikali...
  10. selemala

    JamiiForums Tanzania Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Unapo unda muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambao: unaiua Tanganyika, na Mali zake kuukabidhi Muungano, unaiacha Zanzibar hai, na kuiachia mali zake, nje ya muungano Unatengeneza mazingira ya waZanzibari kuzitumia vibaya mali za iliyokua Tanganyika kwa kisingizio cha muungano. Ndio...
  11. selemala

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasema Kanisa la Ufufuo na Uzima Tanzania ( The Glory of Christ Tanzania Church) Halijafungwa Wala Kufutwa, hivo Rufaa imetupiliwa mbali

    Haina tofauti na iliyotumika. Kivipi? 1. Kiufundi, Zote ni lugha za kikoloni. 2. Zimeletwa kwetu kwa maaumuzi ya kiloloni.
  12. selemala

    JamiiForums Tanzania Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

    WORST PERFORMING CURRENCTY IN THE WORLD! https://www.youtube.com/watch?v=5rhsnIlEcuU
  13. selemala

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Godbless Lema ameamua kususia na kujitenga kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Hivyo wanashauri alternative ya kumuachia fisi bucha ni kushindana nae kula nyama na mifupa? Huyo fisi ni wakumrushia mfupa wenye sumu ya kumuua. Haki haipewi, huchukuliwa. Itahitajika mapinduzi ya kweli, sio ya jina, kuipata haki.
Back
Top Bottom