Ifike wakati tuondoe ushabiki usiokuwa na tija ktk taifa.Utawala wa nchi upo ndani ya katiba na hata viapo vinasisitiza kulinda na kusimamia katiba sasa HATA KAMA WW KIONGOZI FUATA KATIBA
Sasa isifike unaongoza kwa utashi wako binafsi isiwe hivyo tambuen kila mmoja anaudhaifu wake
WACHA WANAOJUA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.