Recent content by Sekenke

  1. Sekenke

    Nanyimwa haki ya ndoa kisa simfikishi kileleni

    Kuna maelezo hapa ya muda unaokadiriwa kuwa wa wastani katika tendo la ndoa, inaweza kukusaidia: How long should sex last: How Long Should Sex Last, Really? Kama wanavyosema wadau, mwenza wako asiwe wa kulaumu tu, wote mshirikiane kuona na jinsi gani mtashiriki pamoja na kila mmoja kufurahia...
  2. Sekenke

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Asante sana Chief-Mkwawa. Kama kuna shule na ujuzi uliokuwa ukinihangaisha kwenda nao sawa, ulikuwa ni huu, IPTV. Kupitia bandiko lako, nimetoka sifuri hadi mafanikio (nimeweza kufungua Sky Sports 1). Naamini nitapata channel nyingi zaidi kadri nitakavyoendelea kujipambanua na hii kitu mpya na...
  3. Sekenke

    Sauti za milipuko Boko usiku huu

    Nasikia kuna tifu polisi na bodaboda. Mnamo mida ya jioni Ijumaa hii, kuna V8 ya kigogo serikalini ilipasuka tairi maeneo ya Bunju B ikaweweseka na kuilamba bodaboda iliyokuwa imefiungasha "mshkaki" na kuwamaliza watu wale. Basi bodaboda wakavamia na kulichoma V8 hadi majivu. Sasa usiku huu...
  4. Sekenke

    The most prevalent diseases in Tanzania

    Ni swali pana. Magonjwa ya kuambukiza au yasiyoambukiza (NCD)? Pia takwimu nyingi zimepangwa kulingana na umri (age) au hatari (risk, vulnerability). Hivyo sababu za vifo kwa watoto, akina mama n.k zinatolewa kwa mfumo huo. Hata hivyo, fuatilia takwimu zifuatazo kwenye ukurasa wa Tanzania...
  5. Sekenke

    Malawi re commits to resolving lake boarder with Tanzania

    The trouble with small countries...don't they have some other important issues to address? Everyday, every opportunity...
  6. Sekenke

    Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    Sina picha, ila nilipita jangwani. Wao-em wlikuwa wamekaa kwenye viti na walipangwa ki-utaratibu wa wanakotoka sijui ni matawi and what nots. Pia, kilikuwa na nafasi kubwa sana kati ya jukwaa na umati. Japo hatuoni picha mbadala, ukweli ndio huo. Ukiwa unafahamu mambo ya Photoshop utaelewa na...
  7. Sekenke

    Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?

    There is more documentation to the subject. This time by the body that recognizes soverign states, the one and only UN. United Nations Treaty Collections United Republic of Tanzania: Note 1. The People's Republic of Zanzibar was admitted to membership on 16 December 1963 by Resolution...
  8. Sekenke

    Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?

    I posted the link to the below reference in this forum in one of the topics. I am anticipating to be branded a puppet. But hold on a minute, is that a scare? Just because I stumbled on a reference and dwelled on it, I could be a puppet. Really? But at least this appears to be anything closer...
  9. Sekenke

    Tanganyika. Licha ya Kusaidia Mapinduzi, Iliiongoza Zanzibar Hata kabla ya Muungano

    Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni. Wanaojua, wanajua. Hakuna SMZ bila Tanganyika. Isingedumu. Ndio maana yule Mzee wa Watu alisema, kwa sababu anajua, "Nje ya Muungano, Hakuna Zanzibar" Spend some time, read stuff: http://www.foia.cia.gov/CPE/ESAU/esau-28.pdf. "Yet, as early as the...
  10. Sekenke

    Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

    Photos, courtesy of Wavuti--picha: Mkutano wa CHADEMA Mtwara leo Mei 28, 2012 - wavuti Sehemu ya maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara na vitongoji vyake, wakiwasikiliza viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika mkutano wa hadhara wa M4C (Movement For Change)...
  11. Sekenke

    Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

    Kwa hisani ya Wavuti: picha: Mkutano wa CHADEMA Mtwara leo Mei 28, 2012 - wavuti Kam hii ndo tafsiri ya matatizo. Na iwe. Sehemu ya maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara na vitongoji vyake, wakiwasikiliza viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika mkutano wa hadhara wa...
  12. Sekenke

    Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

    O. Boban. S Kuna wataalam wa ku-spin humu baab kubwa... waweza kuchakachua na photoshop na wataweka mlima Meru in the background watakwambia hapo Lema yuko Arusha anahutubia. Si umeona ile picha ya vitoto vimeweka alama ya V, hiyo ilikuwa ni kazi ya photoshop. By the way, nilikuwapo Jangwani...
  13. Sekenke

    Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

    For the doubting tomases Picha kwa hisani ya wavuti Sehemu ya maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara na vitongoji vyake, wakiwasikiliza viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika mkutano wa hadhara wa M4C (Movement For Change), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa. (Picha...
  14. Sekenke

    Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

    More reasons to be proud of...
Back
Top Bottom