Recent content by security guard

  1. S

    Juma Raibu: Sijaondoa msaada wowote niliotoa Moshi, gazeti limetumika kunichafua

    Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua. ---- Kesho kutwa nitachangia vifaa vya ujenzi kwa Kata za Mjini Manispaa ya Moshi ili waweze kujenga...
  2. S

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    Huyu ndo Rais, anajua pilika pilika za Maendeleo sana Mama Samia
  3. S

    Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  4. S

    DC Mwenda atumia siku ya wanawake kueleza makubwa yaliyofanywa na Rais Samia

    Sure. Mwenda hoyeeee. Samia Suluhu Hassan hoyeeee
  5. S

    Ridhiwani: Mpango huu unakwenda kutengeneza wakina Mama Samia wengi, akagua ujenzi wa shule Chanika

    Mhe. Ridhiwani anaupiga mwingi sana. Tunataka Viongozi Kama Hawa Sasa nchi hii
  6. S

    Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia ukiibipu kwenye maendeleo inakupigia, tutekeleze majukumu yetu na kutoa taarifa

    Mhe Ridhiwani anafanya kazi kubwa sana sana. Hakuna kingine zaidi ya kusema anaupiga mwingi.
  7. S

    SHAKA: Rais Samia hatazuiwa kuingia mawindoni kutafuta maendeleo ya Watanzania

    Hii ndiyo nchi sasa. Sio mambo ya Bwana yule kudanganya watu kila kukicha hakopi tunatumia fedha za ndani kumbe ndo kakopa kuliko yoyote. Rais Samia anatupeleka pazuri sana. Nyie huu Uwekezaji tunaoupata ukianza kutoa matunda baada ya muda mfupi hii nchi itakuwa mbali sana. Subiri muone
  8. S

    Rais Samia ndani ya Dubai EXPO 2020 kutangaza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania

    Huyu Rais Samia anajua kuendesha nchi, Tanzania sio kisiwa ni lazima iende na Dunia ili maendeleo makubwa zaidi yaje nchini. Huo utajiri tunaojisifu nao kama hatujautangaza na kuleta Wafanyabiashara wa kufanya nao kazi itakuwa bure. Heko Rais Samia kwa kuendelea kuifungua nchi zaidi. Kwa mwendo...
  9. S

    Taarifa kwa umma kutoka CCM: Hotuba kwa Ufupi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa Uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Heko CCM. Wakati Vyama vya Upinzani vinahangaika na ajenda za kudandia na kupinga kila kitu, CCM inazidi kujizatiti kwa kuandaa Viongozi wake kiuadilifu na wazalendo kulitumikia Taifa. Sioni Chama Cha kuiondoa CCM madarakani mpaka Dunia hii inakwisha kwa namna wanavyojijenga kimifumo kila uchao.
  10. S

    Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Jumamosi ya Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali alizungumza na Waandishi wa habari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania. Huu ni ufafanuzi wake kuhusu maendeleo ya miradi yetu mikubwa na ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa nchini:- "Yote kwa yote shughuli zote za Serikali zinaendelea...
  11. S

    Msemaji mkuu wa Serikali kuzungumza na Wanahabari

    Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111 Usikose...
  12. S

    Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

    Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana. Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga...
  13. S

    Watanzania tembeeni kifua mbele, mnalia kidogo Rais Samia anawasikia, anawabembeleza

    Tanzania tuna Rais msikivu Sana. Anajua kuongoza na kusikiliza watu. Mungu aendelee kumuweka na afya njema Mama Samia
Back
Top Bottom