Sikia wanawake tupo hivi, mwanaume ambaye hatumpendi huwa tubamuomba ela kila mara ili achoke ajiondoe ndo maana umeona baada ya kumnyima eka imekuwa rahisi kusema tuachane. Hapo hakuna upendo kaka unachunwa. Tafuta mtu atakayekupenda na siyo kupenda pesa zako
Ndo mana vichaa wanaongezeka kila kukicha. Sasa ulimpaje ujauzito kama hukuwa unampenda? Muwage na huruma basi na watoto wa watu. Co ushamuharibia maisha huyo unatak akaolewe na nani?
Habari za wakati huu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.