Recent content by SectionTwenty

  1. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Kwa yeyote mwenye uhitaji, maswali au kutaka ushauri kwa urahisi zaidi anicheki kwenye namba 0714499248
  2. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Hapo kuna barua unapaswa kuandika ili warekebishe efilling account yako na hiko kipengele cha 2020 kiondoke… Usifanye chochote bila kuwaandikia barua hiyo ili warekebishe na mkubaliane, maana ukifile tu na hiyo penalty ikajipiga basi utakua ushakuza mambo.. Kwa maelezo zaidi nicheki whatsapp au...
  3. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Utaratibu wa kusajili kampuni ya aina yoyote ile huwa unafanana, ila utofauti huwa unakuja kwenye upatikanaji wa leseni na vibali vya biashara Ili kusajili kampuni mpya kwanza kabisa inabidi waanzilishi wa kampuni muwe wawili na kuendelea, na pia kama wote ni watanzania ni lazima muwe na namba...
  4. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Presumptive taxpayers huwa HAWANA PENALTY!, hata itokee umechelewa kufanyiwa makadirio basi utapoenda TRA watakufanyia tu makadirio yako ya kodi kwa mwaka husika pasipokua na penalty ya aina yoyote ile. Ila kitu muhimu kama biashara umefunga mwezi wa 6 mwaka jana we walipe kile ambacho...
  5. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Hii nitafute privately ili unielezee kwa kina then nikushauri cha kufanya
  6. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Utaratibu wa kusajili kampuni ya aina yoyote ile huwa unafanana, ila utofauti huwa unakuja kwenye upatikanaji wa leseni na vibali vya biashara Ili kusajili kampuni mpya kwanza kabisa inabidi waanzilishi wa kampuni muwe wawili na kuendelea, na pia kama wote ni watanzania ni lazima muwe na namba...
  7. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Unaweza kuzitupa kama ukiona zimejaa sana, mana Ukizitunza zote utaishia kujaza maboksi kwa maboksi ya z report, muhimu tu uwe unatoa Z report kila siku
  8. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Wastani wa miezi miwili maana BOT huwa wanaprocess maombi na kukamilisha sio chini ya miezi miwili tangu ulipoomba rasmi
  9. SectionTwenty

    Uliza swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa kodi na usajili

    Hifadhi kila hesabu inayohusiana na kampuni mkuu.. kwanza kuwa na Expenses/Purchases ledger.. Hifadhi risiti zote za manunuzi, kwa manunuzi au matumizi yasiyo na risiti kuwa na angalau petty cash voucher… na kwa kuongezea Kama uko vizuri kwenye account na kutumia system basi hifadhi kukbukumbu...
Back
Top Bottom