Umesema kweli hapa...
Jirani ameleta ujuaji kwenye hii ishu pasipo kuwa na facts. Na fact ni kuwa cctv camera hazikuwa zinafanya kazi. Kimbelembele cha kujiongeza kipumbavu cha jirani.
Polisi wafanye kazi yao kwa uweledi kwenye hili na wananchi tupate feedback ili tuwe na la kujifunza litusaidie...
Ukiingalia hii video kwa umakini utaona mambo mawili:-
1. Mwanaume anamkisi mwanamke mara nyingi na body language yake inaonyesha anakisi kwa hisia, kwa kumaanisha (he is feeling the kiss)
2. Mwanamke anajaribu kukwepa attempts zote za jamaa kumkisi though hapa watu wanaweza sema "she was busy...
"Doctors usually recommend avoiding sex until the infection has cleared up completely. This is because having sex may irritate the urinary tract and can push bacteria into the urethra, worsening the infection"
Uko sahihi mkuu.
I also beg to differ....
Wote tunafaham kuwa mnaweza mkawa wasomi wa fani flan zaid ya mmoja lkn mkazidiana uweled kwny proffesionala husika. Kuna baadhi ya madaktar wanachanga hii issue na kuwa-mislead watu amabao hawana taaluma ya kitabibu. Tena hawa wenye maabara (not hospt in such) ndio...
Reaction yake (time to see the symptons of uti) varies with the type of microbe(vijidudu) ulivyokutana navto (viko tofauti tofauti). Hizi symptons zinaanza kuonekana kuanzia siku mbili mpk siku nane..
Mkuu U.T.I haiambukizwi kwa njia ya se*x hata kidogo. Unaweza ukawa ulipata hiyo u.t.i kwasababu ya uchafu wa damu ya period. Ila kitaalamu u.t.i haiwezi kuambukizwa kwa njia ya kujamiana. U can only get u.t.i if u do an*al se*x au kwa mwanamke km mwanaume anaweka finger au di*ck yake kwa an*al...
Kuna watu wakishakuwa na pesa ma cheo kikubwa basi huwa wanakuwa na kiburi na wanahisi wanaweza fanya kitu chochote hapa duniani. Hapa ni kiburi na na tamaa ya pesa (kulinda jina la shule) vimemponza. Ni mtu hatari sana huyu hatakiwi kuwepo uraiani, sheria ifuate mkondo wake apate adhabu...
Hapo kwel lazima ilete ukakasi.
Nimesoma juu kwny post moja wamesema alijitete kuwa aliyeokotwa na kuzikwa aliona ni mtu mzima na mwny ndevu, je ni kweli hili?? Na kama ni kwel alijitetea hv, ilkuwaje ye ndo akahusika na kuokota na kuzika mwili wa mtu tu wa mtaan ambae hausiki naye au shule iko...
Mkuu tweenty4seven , muuliza swali anauliza mwenye mtoto baada ya kupigiwa sim na Shayo ametotoroka, yeye alikuja kujua vip au kuhis mtoto wake ameuawa shuleni?? Je alitoa taarifa polis ndio polis kuanza kufuatilia na kujua ukwel au alipataje ahz taarifa ambazo inaonekana Shayo alikula njama na...
Kwasasa ukitaka kuona local channels ambazo ni FTA ni lazima uwe na moja kati ya hivyo ving'amuz vitatu. Na kwa jinsi hivyo ving'amuz vitatu vilovyo vya hovyo, itakulazimu tu uwe na ving'amuz viwili kimoja chenye FTA channel (coz wengi ni wapenz wa taarifa ya habar ya itv na vipind vyao) na...
Kwa utaratibu mbovu na kanuni mbovu, TCRA ina leseni za ain mbili. Aina ya kwanza ni leseni ya local itakayokuwa na Free to Air channels (channel zitakazorushwa bure bila kulipia) ambazo ni ITV, TBC1, Channel 10, Clouds TV, Star Tv na EATV.
Hiz FTA channel ni decorder tatu tu zenye leseni au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.