Recent content by Second Fiddle

  1. S

    JamiiForums Tanzania TV asilia ni toleo jipya la kupiga ramli

    Mshana Jr.!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nataka kucheza both teams to score!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    safi sana mdau, ila naomba kujuzwa namna m-bet wanalipa wateja wao wanaobet online. Mimi nilitumia m-pesa kulipia tiketi, tiketi imeshinda lakini sioni waniingizie kwenye account yangu ya m-pesa! Au ofisi zao ziko wapi niwaibukie?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sikuomba Msaada Wa Ushauri Tafadhali, Niliomba Msaada Wa Namna Ya Kubet Online. Hata Hivyo Nakushukuru Kwa Uwepo Wako Karibu Na Mimi, Naamini Nexttime Utanisaidia Vile Nataka! Jpili Njema!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wasalaam! Shida Yangu Kubwa Naombwa Kuelekezwa Namna Ya Kubet Online! Iwe Meridian, M-bet, Ladbrokers, Etc! Kisimu Ninachotumia Ni Tecno Y3. Ni Hilo Tu Wakuu! Nawasilisha.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Face to face with the devil

    Alfu lela ulela!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Unaposafiri na Bus unapenda viti (seats) gani?

    Mtazamo wako ni kama wangu 100%!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Premier betting, tiket ikishinda walipaji hawatoi hela hadi uwahonge

    Kuna siku nilitumia 120,000/=tsh kubet, nikala 47,000/=! Mtoaji hela akanipa 40,000/=tsh, elf 7 akazuia yeye akidai apate japo maji! Hajui kama mikeka mingine nilobet kwa pesa kubwa imechanika! Hatar sana hawa watu! Bora madem wanaombaga, tena buku 2 tu yy anaridhika!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na aina hii ya utapeli (true story)

    Waganga kama hawa dawa yao ni risasi tu! Maana ni umbumbumbu kuugeuza utapeli ndo fani ya kukuwezesha kuishi! Hata hivo siamin kama kwel katapelia M20+ then ashindwe ku....WATAPEL HAOHAO WAJINGA!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi Tabora hii kitu kuBET ishafika au nakwenda msituni nibuni namna nyingine ya kupata pesa za viroba?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tabora nisaidieni!

    Salaam! Naomba mnijuze kama PREMIER BETTING au MERIDIAN tayari wapo hapo Tabora au bado hawajafika? Kama tayari wapo, nitajie eneo walipo, nataka kuwatembelea leo!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu BVR!

    Wasalaam! Nakihitaji sana kitambulisho cha mpiga kura na kwasasa nipo nje ya dar! Naomba kufahamishwa tarehe ya mwisho kuandikisha hapo dar. Pia naomba kufahamishwa mikoa ambayo zoezi hili bado halijafanyika ili kama nitachelewa zoezi hili likafungwa kwa dar basi nijaribu kujimuvuzisha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Ha haaaa! Mm ni mgumu kucheka lakn umefanikiwa kunichekesha kirahisi sana!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poleni kwa majukumu! Naombeni utabiri wenu kwa mechi 2 za kesho; 1.Germany(u21) v Denmark(u21). 2.Serbia(u21) v Czech(u21). Utabiri wako plz!
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawapenda sana malaya

    Nimelipenda hili jibu! Chukua like mkuu!
Back
Top Bottom