Jana nilikuwa napitia baseline ya kidato cha kwanza imetolewa na wizara ya ELIMU chini ya uangaliz wa British council nmeona kuna sayari nane Pluto hamna, pia hicho kitabu cha Oxford kinaonesha kuna sayari name, but kuna kitabu kimetolewa na TIE kinaeleza kuna sayari tisa na pluto...
Waambie jamaa maana wanaiga kama kasuku, hawajafanya utafiti wanacopy na kupest then wanadraw conclusion, haa haaahaaaa pole yao sana, something is better than nothing, kuna watu hum wanajgamba eti wamesoma vtu vikubwa halaf wapo kitaa kila siku wanazunguka na bahasha za kaki mikononi,
Mie ni mwl kama jina linavyoonesha hapo juu but sikuwahi feli, maana o_level Nina div two na advance div one, sasa nashangaa watu wanajadili out of facts, walimu wengi wa secondary wenye degree wana ufaulu mzuri tu tena kuliko hata wanaojgamba humu ila tu kuna sababu mbalimbali zinazopelekea...
Ww inaonekana ulifaulu sana eee, labda tuweke matokeo yako na cc ili tujue upo sahihi ama nn, frankly speaking mie ni mwalimu but ni mwalim wa kufaulu vizuri o level Nina dv two,advance one .sasa utaropokaje eeee walimu ni watu waliofeli? Acha dharau
Watu wa songea manispaa karibuni kwenu, nataka rudi Mbeya jiji, au Mbeya vijijini, karibuni sana, kama upo tayari nicheki kwa namba hii hapa 0765656144
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.