Salaam wana jukwaa,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kiwanja kinapatikana maeneo ya Geita-Katoro maeneo ya Mombasa Raha, Kina ukubwa wa -urefu ni 30 upana ni 28.
Bei ya kiwanja ni million tatu (3,000,000). Nyaraka halali za umiliki wa kiwanja zipo.
Kwa mawasiliano zaidi
piga 0764-676-110...