Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,358
- 153,996
Mwezi wa January wazazi tulilipa ada kwa ajili ya wanetu wapendwa.
Kuna shule nyingi Sana ambazo ada hulipwa kwa awamu nne kwa mwaka, yaani January, April, July, na September.
Kila baada ya likizo tunalipa ada.
Je ulijiandaa? Nawaonea huruma wenzangu na Mimi ambao baada ya ujio wa brother COVID-19 walisimamishiwa mishahara yao na kuambiwa wakapumzike nyumbani, hasa ikikumbukwa kwamba makali ya Corona tulianza kuyaonja mifukoni alipotoka Mkwere madarakani.
Kimbembe Sasa kwasababu inaoneka korona ni ugonjwa wa kukaa nao na inatakiwa tujifunze namna ya kuishi nao hivyo basi hata mahitaji ya wanetu shule yatabadilika.
Wenye shule wataleta school barakoa uniform, ada ya nyungu, ada ya maombi watoto wasidhurike na Corona etc..
Huu ndio wakati tunauza vitu vyetu vya thamani kubwa kwa bei ndogo Sana, tunaingia madeni yenye riba kubwa Sana na za ajabu, baadhi wake zetu kwenda kudanga , na kuanzisha mahusiano haramu na yasio mazuri.
Kwa kweli mengi mabaya zaidi ya mazuri yanakuja, tutege sikio na kuvuta roho ya subira na uvumilivu