Recent content by sebaakujiwe

  1. sebaakujiwe

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Asilimia 70 ya movies/series nazotaja nishaziona. Nyingi tamu bt nilivutiwa Na Faith.
  2. sebaakujiwe

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Watu mnacomplicate. Kifungu kinasema iwapo tu RC anaamini umetenda kosa anaweza kuagiza uwe arrested. Arresting sio tu lazima ukamatwe na polisi. Hata kuambiwa ujilete mwenyewe polisi tayari ni arrest.
  3. sebaakujiwe

    Series (Special thread)

    Ivi jamaa yetu aliyeigiza Faith series ya kikorea hajatoa nyingine tamu???
  4. sebaakujiwe

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Mungu alitoa, Mungu ametwaa, Jina lake lihimidiwe
  5. sebaakujiwe

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Hapo kaka umenena. Changamoto ya wajasirialami wengi ni kukosa uthubutu. Usipothubutu utaendelea kubaki palepale.
  6. sebaakujiwe

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Me nadhani hapo kuonyesha wagombea wawili tu. Hiyo difference umeenda kwa wagombea wengine kama ACT n. K maana hakuonyeshwa hapo....
  7. sebaakujiwe

    Shinyanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Je uliongeleaje Arusha? Arusha wamempigia Lowassa coz ni wa Nyumbani.
  8. sebaakujiwe

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Kaka upo vizuri. Nadhani ndivyo tunavyotakiwa kufanya kwa maendeleo ya nchi yetu
  9. sebaakujiwe

    CHADEMA jibuni hizi shutuma tuwaelewe kama wanamabadiliko wa kweli

    Hilo haliwezi kuwa jibu la maswali yote hapo juu.... Tafuteni majibu ya maana
  10. sebaakujiwe

    Muundo wa Mfuko wa Barabara ulimbeba Magufuli, Hana Ufanisi wowote

    Inaonekana hujitambui maana point zako hazina mashiko na ni za kishabiki. Hakuna fact yoyote hapo. Magufuli kwanza, Lowassa hata sio baadae bali hahitajiki.
  11. sebaakujiwe

    Kwa January Makamba tu

    Kama ni kwa January Makamba tu, y utuandikie sisi? Si umuinbox huyo Makamba aupate ujumbe huo?
Back
Top Bottom