Recent content by Sdm

  1. Sdm

    Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

    Siku ya kwanza kuchepuka ulitoa machozi...vipi siku ya pili na ya tatu ilikuwaje...malizia story yote[emoji3][emoji3][emoji3]
  2. Sdm

    Inakuaje mtumishi wa umma unafulia na kukosa hata mia wakati unalipwa mshahara?

    Nani kakuambia mtu anapokea mshahara afu hana majukumu.. Hata hao wakununua pedi ni jukumu lao mojawapo.... Wanasaidia ndugu zao... Pia wengi walikopa madeni makubwa zamani saivi ndo yanawasumbua kulipa... Pia ATM zao humilikiwa na wanaokopesha pesa.
  3. Sdm

    Rais Magufuli: Mimi ni Rais kweli kweli, jiwe. Sitishwi wala sitishiki; azindua kiwanda cha Alizeti mkoani Singida

    Unaongea afu ukute we na familia yako mnanuka shida... Maisha yangekuwa mazuri kwako nadhani usingeandika hii kitu.. Ungekuwa upo site unapiga dili.. Fanya utafiti kwa unachoongea
  4. Sdm

    Je, kati ya Nuhu wa safina na Genghis Khan nani apewe heshima ya kuwa baba wa vizazi ulimwenguni?

    Wewe unamzungumzia genghis wa miaka ya 1226'unajua gharika lilitokea Lini?
  5. Sdm

    Wafanyakazi wa Serikali na wafanyabiashara mkijibu hizi hoja nami nitaunga mkono maandamano

    Ndo umeandika nini.. Nenda mashambani kaangalie wakulima wanavyoteseka.. Hakuna mbolea za ruzuku... Na mahindi soko bayaaaa kuliko kawaida... Watu wamechoka uongo... Mnyonge yupi anayepiganiwa... Nahisi mnyonge hapa ni mwanasiasa nguli wa ccm..kwa wanampigania azidi kunyonya... Baadhi ya majimbo...
  6. Sdm

    Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani nchini

    Habari zenu na pia poleni kwa majukumu mnayoyafanya katika suala zima la ujenzi wa nchi.. Mimi nina ushauri kwenu nikiamini kama hamtasoma huu ushauri basi kuna watu walio karibu yenu watasoma na kuwapa huu ushauri.. Kwanza kabisa nianze kuwapa pole kwa yale yanayotokea.. Mimi kama mtanzania...
  7. Sdm

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Tanzania bana.. Polisi wanaogopa watu kuandamana afu hapohapo wanasema wako vizuri.. Kama mko vizuri kuzuia maandamano fanyeni kutoa kibali watu waandame maana uwezo wa kudhibiti mnao.. Mkikataa kutoa kibali manake hamuwezi kudhibiti.. Lakini pia wale wanaotaka kuandamana...fuateni sheria...
  8. Sdm

    Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

    Pole sana... Duh... Inauma...
  9. Sdm

    Fikiria kama mikoa yetu ya Tanzania ingekuwa Nchi

    Nchi ya Mbeya saivi ingekuwa na machafuko sana.. Wakimbizi wengi wangekimbilia nchi ya jirani kama Ruvuma n.k...
  10. Sdm

    TAMISEMI kwa hili la kubadilishiwa kituo cha kazi mnaniudhi sana...

    Mi sio mtumishi wa umma.. Ila naandika tu jinsi nilivyogushwa na ndugu yangu aliyeomba kubadilishiwa kituo cha kazi.. Naona jinsi anavyoteseka kusubiri majina eti kisa anasubiri TAMISEMI mtoe majina ambayo mpaka leo hamtoi na mnaendelea kula mishahara minono huku ndugu zetu sisi wakihangaika...
  11. Sdm

    Ndugu wa Aquilina Akwilini wakabidhi bajeti ya TZS 80m kwa Serikali shughuli ya mazishi

    Mbona bajeti ndogo sana... Ningekuwa mimi ningeweka milioni 150...
  12. Sdm

    Wanawake mnaoomba wanaume nguo zao, saa na vitu vingine huwa mnavitumia?

    Niliwahi kumuuliza demu wangu.. Akanambia ujue mi sipendagi uvae cheni na vitu vya kung'aa sana.. Nataka uwe kawaida tu... Ndo maana nikiona una kitu nisichokipenda huwa nakuomba.. Ko ndugu yangu kuwa makini. Demu akikuomba shati juaga mzigo haumpendez ukivaa
  13. Sdm

    Kama una akili nyingi soma hapa

    Hahhaaha asante kwa kurudia tena kwa msisitizo.. Na kututhibitishia Basi endelea na kazi zako mkuu.. Kazi njema.
  14. Sdm

    Kama una akili nyingi soma hapa

    Hata lini wajinga watajua maarifa yao.. ? Rubbish ni yule wa kucoment post ambayo tayari ameshaiona ni ya kipumbavu.. Na hata siku moja hatoweza kujitambua na kuyafahamu mawazo yake ambayo yanafikiri bila kujua yanafikiri nini.. Labda kuwazia kwa kichwa cha chini ambacho ndo kinamaarifa mazuri...
Back
Top Bottom