Umenena vyema kabisa kiongozi. Kama siye wenyewe tumegawanyika madndeleo ya kweli hayawezi kupatikana. Hata nchi zilizoendelea zenye demokrasia ya kweli hupingana tu mitazamo ya juu juu lakini zile core values na interests huwa ni moja
Ni kweli boss ila ukiwa na akili za biashara lazima uhakikishe una capture possibility zote za wateja kufanya biashara na wewe. Kuna watu hasa wa umri mkubwa wapo comfortable zaidi hard copy ticket kuna watu wanafurahia e-tickets. Kuna watu wengine ni slow learners wanataka waulize maswali kama...
Sawa kabisa mkuu, hawa wazungu nafanya nao kazi muda mrefu, ukiona analalamika ujue ni dharau au racist. Kuna mambo tunayopaswa kuongeza ufanisi kwa ajili ya kujiletea maendeleo ila si kwa sababu mzungu amelalamika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.