Recent content by scrappy

  1. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chonde chonde angalizo big teams usiwape direct wins maana wametoka kucheza UEFA na wengine UEROPA na bado J5 wanajitafuta wabakie UEFA au EUROPA Ina maanisha mechi za weekend kuna baadhi wachezaji wa muhimu watapumzishwa na usishangazwe na matokeo ya leo 🤣😂🤣
  2. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    PSV bila kusahau Celtic
  3. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wa direct win kwa Bayern munich
  4. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Orodhesha hizo Timu tuzichambue pia
  5. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema wewe ndio ume cashout 🤣😂🤣, kucashout inaumiza pale ambapo mechi zote zimetick lazima ujute uamuzi ulioufanya
  6. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Madogo wa man city Ni wangese Sana, kikosi gani guardiola amekipanga
  7. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hamia sportybet kuna options nyingi na odds nzuri, utofauti wake ni kwamba mechi za nyumbani huwa wanachelewa sana kuziweka ukilinganisha na sportpesa.
  8. scrappy

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara

    Angalia TBC ukweli na uwakika
  9. scrappy

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Si inaleweka inakatwa kwa mwezi. Wanacholalamika ongezeko la 500/=
  10. scrappy

    JamiiForums Tanzania Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25

    [emoji23][emoji1787][emoji23] we kwa Hali hii soma ujiajili tu, siku hizi ajira Ni connection ( unamjua Nani) . Haya wadogo zangu endeleeni kusoma kupoteza muda tu.
  11. scrappy

    JamiiForums Tanzania Sheria za kufungua Baa, nyumba za Ibada ziangaliwe upya

    Huu ujumbe iwafikie serikali kuu mpaka serikali ya mtaa. Imekuwa Ni kero huku mtaani. Kama viongozi wa serikalini wangekuwa wanaishi mazingira haya sidhani wangekubali Hali hii iendelee.
  12. scrappy

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Unachoelezea ni sahihi kabisa inategemea sehemu mtu anakopangwa au connection. Wanaofanya department customs ( forodha) ndio usiseme huko. Nenda Tunduma [emoji1787][emoji23] customs officers wanahamishwa Sana huko hawafikishi miaka miwili
  13. scrappy

    JamiiForums Tanzania TANESCO naomba maelezo ya kina, nimechanganyikiwa (Kuhusu Kununua Luku Na Units Unazopata)

    Hivi si kuna Kodi ya majengo na Kodi ya ardhi ?!
  14. scrappy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Hii game naona Ronaldo ameshuka kiwango aingie mtu mwingine mbadala
Back
Top Bottom