Recent content by Scoundrel

  1. Scoundrel

    Barua Kwa FIFA

    Watu wa Simba SC wanahangaika Sana tena Sana
  2. Scoundrel

    Lucky dube vs Bob Marley nani alikuwa bora kwako?

    You can't compare HELL with HEAVEN, Bob is REGGAE and REGGAE is Bob Dube ni mfuta vumbi wa vyombo vya Bob!!
  3. Scoundrel

    Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

    Ni kweli kabisa halafu utakuta viongozi wa siasa nao wapo na Kuna siku watu wa BIMA nao wakapanda kutoa Mada imagine hiyo ni KANISA KATOLIKI
  4. Scoundrel

    Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama

    Mbowe intelligent and gentleman
  5. Scoundrel

    PreGE2025 Lissu: Baada ya uchaguzi CHADEMA itahitaji maridhiano yawezekana chini yake tu

    Kwa kusema ukweli jamaa yangu Lissu hastahili nafasi yeyote ile baada ya uchaguzi
  6. Scoundrel

    Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

    Hawa wauothi wakishambulia wao ni halali ila Israel akijibu ni ukiukaji wa haki so difficult
  7. Scoundrel

    Shaq awaambia watoto wake watafute mali zao

    Huyu ni MPUMBAVU kwani watoto waliomba kuzaliwa? Starehe zake na hawara yake ndiyo zimeleta mimba na hatimaye watoto unless awarudishe walikotoka
  8. Scoundrel

    Nyama zinazoliwa Monduli kwa Lowassa haijapata kutokeaa popote pale hi itakuwa recodi nyingine kabisa

    Unasifia nyama duuh waTanzania bhana ni always zero, watu tunajadili umeme wewe unawaza nyama za msibani duuh [emoji50]
  9. Scoundrel

    Japhet Maganga wa CWT akamatwa kwa kufanya fujo

    Alikataa UTEUZI huyu siyo?
  10. Scoundrel

    Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

    kuna kasi ya kuiba pesa siyo kasi ya mtandao wana adjust mitambo vitu vin zunguka tu,au na ww nifanyakazi mwenzao nn?
  11. Scoundrel

    Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

    Kampuni zote Tanzania ni WEZI na wala hawasumbuliwi kuna watu wana 10% zao ni ngumu kuwathibiti
  12. Scoundrel

    Replacement ya Kitenge Kwa Massanja mkandamizaji ni uzalilishaji wa taaluma ya habari,mimi nilikataaa kuwa kasuku!

    So sad yaani siku hizi UANDISHI wa HABARI umegeuka kuwa COMEDY na wengine wanabana pua kabisa so [emoji17]
Back
Top Bottom