nimeumia sana sana sana sanaaaa nimepitia situation kama ya kwako hakika inaumiza sanaaa ila mimi niliondoka bcz maisha ni all about happyness and peace and love and being free ingawa kuanza upya ni kugumu sanaaa kuna umiza mnooo utajikuta unatembea na watoto wadogo bila kujua au unatembea na...
tatizo la mkeo linatibika muone dr mwaka ila kimtaani mwambie asafishe uke na shabu uke utarudi na kua mdogo na mkavu ndimu pia husaidia kufanya harufu na maji kukata but kuna kitu kinaitwa mgagani na chenyewe noumer kuna kistiki lazima ulie na hiyo yaani viunga k ni vingi sana huku kwetu tanga...
Ni normal na inaweza kumtokea mtu yeyote hii inatokana na mzazi kula chakula masaa sita yaliopita so mmeng'enyo wa chakula umefanyika na hali ya kujifungua imekaribia unaposukuma mtoto kama ile haja ipo karibu unaisukuma pia, so hutoka pamoja na mtoto na wale wanao pee ni hivyo hivyo na hii ndio...
shoga mara tatu kwa mwezi mumeo ni mgonjwa kitambooo au wewe ndio ulikua na tatizo sema alikupenda sana akaamua kukuoa hivyo hivyo bila kukuambia ila ndio akaamua kufanya mara chache hivyo mwanaume rijali hamalizi hata wiki lazima aombe mzigo shoga na nakuapia kama haumwi huyo mumeo basi jua ana...
mwenzangu nakupa makavu live unawaambia wazazi wako kua ana mtoto ili iweje kwani wao ndio wataishi na huyo mtoto hilo moja pili je umewaambia kua umemkuta sio bikra?? kuna vitu vingi vinakuhusu wewe muoaji na sio wazazi wako wewe sema hujapenda msichana wako kuzalishwa na dume jingine lkn cha...
ukisha zisoma then what utaweza kumuacha je utaweza kumbadilisha je atakubali kuacha je utagombana utafanyaje nothing zaidi ya kutengeneza uadui na umpendae trust me i know inaumaaa sana heri ujue cha kufanya kuliko uzisome uishie kulia na wala usimzuie kufanya lolote sana sana atakudharau...
wanaume jamani mungu tusaidie sana huyo ni dem kama ulivyosema au mkeo maana siku hizi mke sio lazima ufunge nae ndoa unakaa na mtoto wawatu 10 yrs unamuita demu huyo kaja kwake umeishi nae tangu ana miaka 21 mpaka sasa ana 30 unamuita dem huyo kaja kwake na anajua why unamfukuza unataka...
my fiance amenitosa kisa rich girl tena yupo serikalini hako ka rich girl nilifukuzwa kama mbwa jizi kama hanijui kama nimekutana nae jana na hivi ninavyo andika katokea jibaba naona billions mbele yangu soon enough natembelea green posture honest huyo dada amuue mawili amuache mpnz wake wa...
laana ipo kati ya wapenzi hasa wa muda mrefu ila inategemea mnachoachania kama huyo binti ametenda kosa moja na wewe ulimkosea mara mia moja unajichetua huelewi na kama ameomba msamaha ukamkatalia ili hali wewe alikusamehe ukajichetua kua hukumbuki wala huelewi kosa lake limekuuma sana ndio...
mimi kwangu sawa tuu uniambie au usiniambie ila kama utaniambia ni faida kwangu bcz naweza okoa ndoa yangu ila hasara ni kwamba at the time naokoa hiyo ndoa itakua hakuna amani na kumuamini tena itakua ngumu ila kama utaona huwezi kuniambia naomba umkanye yeye but honest mimi ilinitokea ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.