Recent content by scopic sniper

  1. scopic sniper

    7 natural laws of business

    Asante Kwa Maarifa ya kimafanikio nimekuwa mraibu wa kusoma vitabu vya biashara kama wewe ila nimekosa concentration area nadhani umenifungua kunipa hiz 7 natural laws Asante sana God bless you and see you at the top of sucess
  2. scopic sniper

    Wapenzi wa vitabu vya biashara na fedha, tukutane hapa!

    Mimi pia mpenzi mno na nishakusoma kama vitani
  3. scopic sniper

    Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Ukweli kabisa Mimi mwenyewe Sina rafiki
  4. scopic sniper

    Naomba ushauri wako nasaha juu ya kufikia malengo ya kuku elfu 5 ndani ya mwaka mmoja na miezi sita

    Mchanganuo mzuri kuku anafaida sana ila anaunnecessary cost ili kuzuia hasara so tupaswa kuwa making ilinkupata tija inayositahili
  5. scopic sniper

    Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

    IQ haipimwi kwakwenda darasani mtoa mada naye kilaza ,hizi Mambo mapaka ufundishwe saikoloji sio vitabu vya motivation speaker
  6. scopic sniper

    Mikoa au miji yenye mzunguko mzuri wa pesa

    Dar Ni sehemu sahihi Sana hakuna masuala ya ukabila pia idadi kubwa ya wtu hupenda vitu vya fashion hivyo Ni rahisi kupata fedha tofauti na mikoani wengi wajikita siku za sikukuu au matukioa Kama harusi bidhaa zako zitalala lakin Dar watu wanakwenda na wakati pia wanamashino pia watu wengi wa...
  7. scopic sniper

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Shida yangu Ni Ramani huo mchoro mkubwa tayari nyumba ya L na huo mdogo Ni kisima hivyo vipimo nataka ra amani ya nyumba mkuu na makadilio ya gharama hata kujenga ukuta was nje was fensi
  8. scopic sniper

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Ngoja nikutumie uone namna plan itakavyoo kalal
  9. scopic sniper

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Naomba mawasiliano yako ya WhatsApp
  10. scopic sniper

    Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Changamoto wafanuaboashara matapeli wamechakachua
  11. scopic sniper

    Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

    Samaki Kama nikiwa ninamtaji
Back
Top Bottom