Recent content by scope17

  1. S

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    ukichapwa ukamind, utachapwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Tunaweza kujenga nyumba zetu bila ya kuweka nondo madirishani?

    kwan hyo technology chimbuko lake ni wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Ndege huwa inaongozwa vipi angani?

    popcorn Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Fatma Karume amtetea Dudubaya kama iIivyokuwa kwa Amber Ruti

    tukiachana na mihemko ya kufiwa, huyo ni mwanasheria so unapojarb kupingana naye unatakiwa uwe na facts za kisheria Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Pata ukitakacho kwa wakati na uhakika

    karibu, kama unaswali uliza
  6. S

    Pata ukitakacho kwa wakati na uhakika

    "THE NETWORK" Tunaleta huduma mikononi mwako. Habari wakuu..! katika pitapita za kimaisha nmekutana na hali ambazo ninakuwa na uhitaji wa kupata huduma flani kwa haraka pasipo kujua jinsi gani naweza kupata au kutimiza hitaji langu kwa wakati. Kuna nyakati nmekuwa nkikutana na post za watu...
  7. S

    Amka kijana, ulimwengu unajongea...

    Habari wana jukwaa..! Kama kichwa kinavo jieleza, nimeamua kuandika Uzi huu mahsusi kwaajili ya vijana wenzangu nikiamin vijana ni nyezo ya muhim Sana katika ujenzi wa taifa.. Vijana ni nguvu kazi, ni mtaji lakini pia ni raw material katika masula yote katika taifa.. Kundi hili kimsingi Lina...
  8. S

    Rev. Dr Muhoza: Maaskofu na Mapadre wa katoliki wana wajibu wa kukemea maovu ila hawaruhusiwi kuwa wanasiasa

    ameyasema haya pia "Viongozi wanahaki na wajibu wa kuzungumzia siasa tangu agano la kale" ... ametoa na ushahidi wa visa katika biblia kusapot hoja hyo "Anayesema viongozi wa dini hawapaswi kuzungumzia siasa haelewi wajibu wa viongoz wa dini" "kwang mm viongoz wana wajib wa kukemea maovu ya...
  9. S

    Nimeamua kula sahani moja na wakufunzi wanaonyanyasa wanafunzi vyuoni

    asanteni kwa maoni na ushauri pia, lakin naomba nieleweke tena target yang n kwa wale wanaolazimishwa kufanya wasiyo yataka.
  10. S

    Nimeamua kula sahani moja na wakufunzi wanaonyanyasa wanafunzi vyuoni

    movement yoyote ya kumhalibia mtu ulaji wake yana risk kubwa
  11. S

    Nimeamua kula sahani moja na wakufunzi wanaonyanyasa wanafunzi vyuoni

    Habari za muda wakuu, Natumaini nyote mnaanza mapumziko ya mwisho wa wiki salama, Turejee kwenye mada tajwa. Ni kwa muda mrefu sana tumekuwa tukisikia maswala ya kiunyanyasaji yakifanywa na wakufunzi wa vyuo dhidi ya wanafunzi kwa masilahi yao binafsi. Mfano maswala ya kuwaomba wanafunzi...
Back
Top Bottom