Recent content by Schoolboy Me-lee

  1. Schoolboy Me-lee

    SEHEMU YA 2: Namna Wazungu walivyotokea duniani

    hali ya hewa inaweza kubadilisha fuvu,nywele ,pua,ustaharabu na mambo mengine mengi mkuu....im thinking loudly hahaha
  2. Schoolboy Me-lee

    Melchizedek na utata unaomzunguka

    Umenifikirisha sana mkuu kuhusu huyu WAJINA wangu be blessed ,,nitamfuatilia zaidi
  3. Schoolboy Me-lee

    iPhone Users!

    kwenye iphone 4 inafaa mkuu?
  4. Schoolboy Me-lee

    iPhone Users!

    ulifanyaje mkuu coz adi mimi ninatumia ios 7.1.2 HELP.
  5. Schoolboy Me-lee

    iPhone Users!

    ni iphone 4s
  6. Schoolboy Me-lee

    Tatizo lolote la PC/device

    Faza sina sana ufahamu wa mambo hayo ila niki-click kwenye speaker inaonesha ipo enabled ila sielew nini tatizo mkuu Vp na kwenye hizo drivers kama hazipo nawekaje na kama zime-corrupt ninazi-fix vp SHUKRAN
  7. Schoolboy Me-lee

    iPhone Users!

    Kwa nini nikiingia itunes inaandika "cann't connect to itunes" Pia nitawezaje ku-apdate ios version 7.1.2 kwenda ios 9,10au 11 Msaada wakuu
  8. Schoolboy Me-lee

    Tatizo lolote la PC/device

    Vp mkuu nina sony vaio inaonesha ile symbol ya speaker ila ukiplay media yoyote hakuna sauti Nifanyeje et
  9. Schoolboy Me-lee

    Uthibitisho wa kutajwa kwa aliens (viumbe kutoka sayari nyingine) katika Quran

    Nimekupata fresh faza uliposema allien ni kiumbe chochote kinachoishi nje ya dunia nilikua bado na mentality ya alliens wa hollywood
  10. Schoolboy Me-lee

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Msaada kwa aliye group la whatsapp la hizi drama za kikorea anifanyie wepesi pls (Zenye subtitle au zilizotafriwa kabisa kwa sababu KIKOREA NI QWERE wakuu)
  11. Schoolboy Me-lee

    Uthibitisho wa kutajwa kwa aliens (viumbe kutoka sayari nyingine) katika Quran

    Sawa ni viumbe ila hawajawa specfied kuwa ni ALLIENS blaza mimi ninaamini ni viumbe kama majini,malaika,nk Pamoja RAKIMS
  12. Schoolboy Me-lee

    Uthibitisho wa kutajwa kwa aliens (viumbe kutoka sayari nyingine) katika Quran

    Swaf mkali kama naanza kukupata ila sidhan kama ni hao alliens
  13. Schoolboy Me-lee

    Uthibitisho wa kutajwa kwa aliens (viumbe kutoka sayari nyingine) katika Quran

    Mbona kwenye hiyo aya haisemi viumbe kutoka sayari nyingine...au ni mimi sijaelewa mkuu
Back
Top Bottom