Recent content by School fiz

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ajali Segera: Sita wafariki dunia, saba wajeruhiwa

    Tumeshapata location yako
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania si kisiwa

    Uelewa wako n wa chin sana
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar njoo ujionee mambo yanayofanyika katika bar inayoitwa Masakuu hapa Mbagala rangi 3

    Wanawake wanauza kiungo cha mwili km biashara zngne km nyanya . Na vitunguu....pia kuna wadada wanacheza mziki 99% naked....huwez ruka km uko fresh asee
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar njoo ujionee mambo yanayofanyika katika bar inayoitwa Masakuu hapa Mbagala rangi 3

    Unaamin kwamba ni rahis kuchukua picha ktk eneo km hili kwa sasa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar njoo ujionee mambo yanayofanyika katika bar inayoitwa Masakuu hapa Mbagala rangi 3

    You are too young to comment on this thread....stay away
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar njoo ujionee mambo yanayofanyika katika bar inayoitwa Masakuu hapa Mbagala rangi 3

    Ni zaid ya laana.....km ww ni kidume mkware walahi usipite pande izi unaweza dondoka kiiman.....utawala mulikeni eneo hili kwa faida ya vizaz vijavyo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni dawa ya KIDORE CHA KATI KIMEVIMBA SANAA!

    Dawa yake n choo cha shimo...ila uwe mvumilivu kidogo sabab ya harufu...nenda ktk choo cha shimo ingiza huo mkono wenye mdudu ndan ya shimo la choo kinachotumika kwa dakika zisizopungua 10
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga na Simba waliwezaje kuwashawishi watanzania hadi wakawa wapinzan wakuu katika soka hapa Tanzania?

    Kama wewe n mfatiliaji mzuri wa mpira wa miguu utakubaliana na mimi kwamba timu tajwa hapo juu ndio znaongoza kwa mashabik hapa tanzania....tupeane mawazo ilikuaje wao tu na hakuna upinzan mwingine uliotokea hapa tanzania katika mpira wa miguu kwa wanaume
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wotee sawa tu

    sio kwel...wanaume wato hatupo sawa..usiseme ivo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Graduate ninayefanya kazi ya Ulinzi, niulize chochote kuhusu sekta hii

    Nakubali wewe ni graduate na upo vizuri kwenye customer care....maana hilo ni swali la kejeli na kuudhi..ila umempa madini...respect sana kamanda
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nauza mtungi wa gesi kilo 6 oryx

    Bado upo
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nauza mtungi wa gesi kilo 6 oryx

    Chukua namba ncheki
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nauza mtungi wa gesi kilo 6 oryx

    Kampuni...oryx gas Status..hauna gas kwa sasa Location....mbagala..dar Bei....npe ofa yako Contacts...0684264362
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wenye historia ya kutongozwa na mwanamke tuambie hapa

    Mm n mmoja wapo...nilitongozwa na mwanamke..sikuweza kukataa ..nkapiga show then nikaendelea na utaratibu wangu..tupe ushuhuda wako kama mwanaume akitongozwa na mwanamke anaweza kataa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jipatie sh. 500,000/- kwa mwezi kutuletea wateja 100 kwa mwezi sawa na sh. 5,000/- kwa mteja mmoja sawa na mteja 3.3 kwa siku.

    Nakushauri tumia mfumo wa kamisheni.... Mpatie mtu sample akafanye matangazo ktk shule then auze apate chake kulingana na atakavyouza sio lazima atime 25 kwa mwezi
Back
Top Bottom