Recent content by Schengen

  1. S

    JamiiForums Tanzania YouTuber Blogger: Wanageria Wadai Hawajui Chochote Kuhusu Tanzania, Wanaijua Kenya tuu. Je Ujamaa na Kiswahili Ndio Vimetutenga na Afrika?

    Mimi sitaki kusikiliza upumbavu. Mtoa maada umeonyesha udhaifu mkubwa Sana wa upumbavu wako According to this post Who is stupid Who Doesn't know about Tanzania Or Tanzania? Kutokujua kuhusu Tanzania Inaonyesha Ni kiasi gani hukusoma Ni wajibu wa Mtu kujua kila nchi na opportunities zake...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, Boniface Mwabukusi atafanikiwa kuirejesha TLS kwenye ubora wake?

    Wacha afanye Kwa sehemu Mungu atakayomjalia. Ila Hali ni mbaya Ndio ukweli. Isitoshe Serikali itahakikisha Kwa gharama yeyote hashindi Kwa sababu haungi mkono wenye mamlaka katika kuchakachua Rasilimali za nchi. Lingine Mawakili wenzake wengi wamenajisika Hili liko wazi Mawakili wasomi wote...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu kwa mwezi ni 250,000/=. Kupangilia mtihani

    Una Taaluma gani Nikupe kazi?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

    Tunawaambia kila siku Elimu tunayotoa kwa wasomi wetu haikidhi mahitaji ya Dunia ya sasa. Mnajisifia Nimesoma UDOM , UDSM Wakati kichwani hamna kitu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Day Trip Iringa

    Check wajamaa wa TaTanga Tours watakupa local activities za Iringa Upelekwe Kalenga ngomeni Daytrip ziko nyingi Pia Ruaha National park you can do it Daytrip tour
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

    Wanawake wenye wivu wa kijinga kama nyie mnarudisha maendeleo ya familia Nyuma Eti sina Imani na safari ya Mume wangu Unataka akae hapo muote Moto wa umasikini. Nilioa mwanamke kama hili Nikalifukuzia mbali huko. Wivu mwingine unakuja kama upendo Kumbe Ni wakala wa shetani. Break through...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Ushoga duniani

    Mama kalala kitandani Ndio kaletewa mtoto wake amuone baada ya operation Sasa ushoga uko wapi hapo?
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Mchaga wa wapi? Samahani lakini
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kunani media za kibongo haziripoti sana habari za uchaguzi wa Afrika Kusini?

    Kajiunga na Palestine huyo Ana laana huoni mabalaa yanavyomfuata. Yeye Ndio kafungua kesi ya Netanyahu Mahakamani ICJ
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hii sheria ya ardhi kuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa makini mtakuja kulaumiana mbeleni

    Si Bora mtu apewe chake auze Kuliko uambiwe Ni chako lakini pia hupewi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Masheikh waja juu, wataka Serikali iache kuingilia masuala ya Dini nchini

    Too late. Mlijifanya watu wa Fujo Mkashindwa kutumia Uhuru wa kuabudu vizuri Sasa mnasaidiwa na Serikali kusimamia Dini yenu Sasa hivi Serikali imewekeza huko mnafanya kazi Kwa ubia na Serikali. Kaeni mtulie maisha yaendelee
  12. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Kitonga (Dar) ina Wanafunzi 4,000, Walimu 14, Madarasa 13

    Hii shule iko Dar? Du basi hii Safari bado Sana.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwaka mmoja na miezi tisa kukohoa sana nyakati za usiku

    Ok. Nimekuelewa Sana Mtoto wangu alikuwa kila ikifikia saa nane usiku anakohoa hadi anatapika kila alichokula Ndio atapata usingizi. Mchana haumwi chochote Hospital Hakuna majibu. Ikawa namuambia Mungu shida Ni nini huyu mtoto Roho yangu inaniuma Sana usiku mtoto anateseka Jambo likachukua Muda...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kocha wa Taifa Star inawafanya wachezaji wengi kukataa kujiunga nayo

    Kwani kuitwa wachezaji kutoka nje Ndio kushinda? Nimeona ukiondoa Samatha na Msuva wengine wote Hakuna kitu
Back
Top Bottom