Hilo linawezekana kweli ? Tuna mrad mlubwa wa JNHPP alaf tena tuanze kuzalish umeme kwa kutumia mamitambo ya maffut mazito. Jamani Tuna akili kweli sisi ?
Wanangu Pro Russian nasikia kuna kitengo kwenye OP kazi yao kubwa ni kupaka Missiles mafuta. Wanatumia mafta ya mgando naskia Au ya Nazi sometimez 😂😂😂😂😂😂😂😂Urraaaa
Upendo ni chaguo,,,unajua ukikaa na mtu muda mref mwish wa siku unakua na upendo nae hata kma ni wa kawaida tuu wanasma love glow upend unakua sabab ya kuchagua
Urrraaaa
Hakuna kitu nacho kiombea kama Mungu kumpa maisha marefu V. Putin, kwanza hata akifa kifo cha kawaida. Utasikia machoko wanasema ni US intelligence mission. Japo najua ndani ya rassia kuna putin'ian weng sana
Urrraaaa.
Wanangu Pro Russia Mim nina jambo natak kufhamu baada ya kukamilisha hako ka mkia kaliko baki hapo Ukraine. je tunaimeza Ukraine na kuwa ndani ya mipaka ya russia au Tunafanya michakato ya kuirudisha ile United Socialist Soviet Republic USSR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.