Picha ya Mwl Nyerere inawakilisha muanzilishi na Baba wa Taifa la Tanganyika/Tanzania ambayo inakuwa mbele ya kiti cha boss/au mtu yeyote aliyekaa ofisini ba picha ya Rais aliyepo inakaa nyuma ya kiti cha mwenye ofisi kumaanisha Mkuu wa Dola. Picha hizo zinaweza pia kuwekwa maeneo tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.