Recent content by scaled

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    Inaonekana hauna kazi ya kufanya (jobless)ndiyo sababu kila mara mama mkwe wako anapokuja nyumbani we upo tu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nataka niache Ualimu nikasomee Udaktari

    Changamkia fulsa nakushauri uombe scholarship ukasome engineering ya amafuta na gas level ya masters kama matokeo yako yako vizuri mbona walimu wenzako wa sayansi pcm wamejajiriwa TPDC kwenye field ya mafuta na gas ambayo bado haijawa na wataalam wa kutosha ukirudi unaweza kubadili maisha yako.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Obama: Tulikosea kuivamia Libya na kumuondoa Gaddafi

    Halafu msuluhishi wa mgogoro wa libya ni mzee wa msoga.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ofisini ni kahaba, ajira yake ni geresha tu

    Mbona inakuuma sana kwani we ndio HR wa hiyo kampuni?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kusema hapa CRDB ni jipu, sasa Waziri Mkuu amtuma CAG kuichunguza!

    Swali lililo msumbua mh waziri mkuu aliyemaliza mda wake nanona linajirudia kwamba je CRDB ni ya umma si ya umma? Haya maswali yanayohusisha mali ya umma magumu kwelikweli.
Back
Top Bottom